Tupia top 4 yako EPL 2019/2020

Tupia top 4 yako EPL 2019/2020

Niliwaambia ndan ya michezo 10 hamuwez kuwepo ndan ya top 4 ,

Nafas ya 10-15

Hiyo lazima

Tupo hapa nitakuja kufukua kaburi

Sasa hiv ratiba inawadanganyeni mna timu ya kuingia hata top 8

Kwani mechi ngapi zimechezwa adi leo. Na zimebaki ngapi kutimia 10? Pia tupo nafasi ya ngapi adi sasa?
 
Epl top 4:-

1. West gorton(Sky Blues).
2. The reds.
3. The liliywhites.
4. The claret & blue(Lions)

*************!!!!!!!!!!**************
 
Mungu akujalie utaendelea kuaibika mpaka mwisho wa maisha yako yote
Niliwaambia ndan ya michezo 10 hamuwez kuwepo ndan ya top 4 ,

Nafas ya 10-15

Hiyo lazima

Tupo hapa nitakuja kufukua kaburi

Sasa hiv ratiba inawadanganyeni mna timu ya kuingia hata top 8
 
Kwangu nianze na timu ambazo zitakuwa title contenders man city na Liverpool hawa hawatakosa top 4 panga pangua.. kishazinabaki nafasi 2, chelsea na kukosa kwake kusajiri namtoa kwenye top 4 manchester united anaingia hayumo sababu nimecheki game zake naona kama ugonjwa haujawaisha kama wasiposajili basi tutegemee yale yale ya msimu uliopita, arsenal km watasajili vizuri nikimaanisha idara ya ulinzi top 4 kwao ni uhakika msimu uliopita walikosa nafasi kimaajabu tu kiasi wazee wa Stamford bridge wakakalia kiti.. Tottenham mie nawapa nafasi..

So top 4 yangu itakuwa watu hawa..

1.man city
2.liverpool
3.tottenham
4.arsenal

5.manchester united
6.chelsea.

[emoji23]
 
Back
Top Bottom