Tupia top 4 yako EPL kwa msimu wa 2021/22

Tupia top 4 yako EPL kwa msimu wa 2021/22

1. Tottenham
2. Man U
3. Man City
4. Aston Villa
5. Leicester
6. Chelsea
7. Liverpool
8. Leeds
9. Everton
10. Brighton
11. Wolves
12. West Ham
13. Crystal Palace
14. Newcastle
15. Southampton
16. Burnley
17. Arsenal 😂😂
18. Norwich
19. Brentford
20. Watford
The Gunners wanazidi kupanda
 
Msimu huuafika mwisho labda nimuondoe Leicester ni muweke Chelsea otherwise unless bado naamini man u, arsenal na Liverpool wapo top 4
Wewe unakichaa na mpira ujui watu kama nyinyi mkiwa mnabet mtaishia kuliwa hela zenu kwasababu mnatanguliza mapenzi ya team badala kuangalia mpira kiujumla
 
Wewe unakichaa na mpira ujui watu kama nyinyi mkiwa mnabet mtaishia kuliwa hela zenu kwasababu mnatanguliza mapenzi ya team badala kuangalia mpira kiujumla
Hayo ni maoni na mtazamo wangu,Sasa wewe ni lazimishe ni amini Man City anaingia top 4 bila kuwa na typical striker.
 
Niambie sababu za msingi zakumuondoa Chelsea na Man city kwenye Top 4 zako nakuwaweka Arsenal na Leicester city kama si uchizi ni Nini?
Hiyo top 4 niliiweka kabla dirisha hakijafungwa na kabla lukaku hayupo Chelsea ila saivi top 4 yangu
Chelsea
Man u
Liverpool
Arsenal
 
Kuelekea kuanza kwa msimu mpya wa ligi pendwa duniani al maarufu EPL hapo Jumamosi ya tarehe 13, Agosti 2021.

Hii ndio top 4 yangu kwa msimu huu mpaka inafika tamati.

1. Chelsea FC

2. Man City

3. Leicester City

4. Man United

Tupia na yako
Naunga mkono hii mpangilio ila ManU mtoe hapo
 
Kuelekea kuanza kwa msimu mpya wa ligi pendwa duniani al maarufu EPL hapo Jumamosi ya tarehe 13, Agosti 2021.

Hii ndio top 4 yangu kwa msimu huu mpaka inafika tamati.

1. Chelsea FC

2. Man City

3. Leicester City

4. Man United

Tupia na yako

Mzee baba naona una tambaa mule mule...
 
Back
Top Bottom