Tupia top 4 yako EPL kwa msimu wa 2021/22

Man United bure kabisa na tatizo sio kocha kumbe ila shida iko kwa wachezaji akina Maguire, Lindelof na Bailly sio mabeki wa kuweka kufanya timu iwe kwenye nafasi yoyote ya maana.

Wakijitahidi sana wanaweza kwenda Europa msimu ujao ila top four wasahau hawana timu ya kuingia top four.
 
Nina mda Sana sijaangalia mechi za Utd, sitaangalia Tena maana naona Sina wa Kumwangalia kama mchezaji Ila Kuna Vitoto Vingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuelekea kuanza kwa msimu mpya wa ligi pendwa duniani al maarufu EPL hapo Jumamosi ya tarehe 13, Agosti 2021.

Hii ndio top 4 yangu kwa msimu huu mpaka inafika tamati.

1. Chelsea FC

2. Man City

3. Leicester City

4. Man United

Tupia na yako
Jamani mjue mkague bashiri zenu zilivyoenda chaka🤣🤣
 
Kuelekea kuanza kwa msimu mpya wa ligi pendwa duniani al maarufu EPL hapo Jumamosi ya tarehe 13, Agosti 2021.

Hii ndio top 4 yangu kwa msimu huu mpaka inafika tamati.

1. Chelsea FC

2. Man City

3. Leicester City

4. Man United

Tupia na yako
Mkuu ulichemka MBAYA...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
1. Tottenham
2. Man U
3. Man City
4. Aston Villa
5. Leicester
6. Chelsea
7. Liverpool
8. Leeds
9. Everton
10. Brighton
11. Wolves
12. West Ham
13. Crystal Palace
14. Newcastle
15. Southampton
16. Burnley
17. Arsenal [emoji23][emoji23]
18. Norwich
19. Brentford
20. Watford
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Leicester sijui aliwafanya nini watu naona kakaa kwenye top four
 
Man United bure kabisa na tatizo sio kocha kumbe ila shida iko kwa wachezaji akina Maguire, Lindelof na Bailly sio mabeki wa kuweka kufanya timu iwe kwenye nafasi yoyote ya maana.

Wakijitahidi sana wanaweza kwenda Europa msimu ujao ila top four wasahau hawana timu ya kuingia top four.
Man u kipindi cha fegi walikuwa wanabebwa na FA now mambo yamebadilika
 
Back
Top Bottom