Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Ligi ya EPL inafikia ukingoni jumapili tarehe 26 july 2020, kuna vita ya aina mbili kuelekea kufungwa kwa ligi. Kwanza ni timu mbili ambazo zitaungana na Liverpool na Man City kuelekea kwenye mashindano ya Uefa Champions League msimu ujao. Pili ni nani ataungana na Norwich kushuka daraja.
Mechi zote zitapigwa muda mmoja saa 12 jioni siku ya jumapili.
Kwenye vita ya Top 4, nafasi ya 3 na 4 inagombewa na timu tatu ambazo ni Man Utd, Chelsea na Leicester.
Mechi za mwisho za timu hizo ni;
Leicester City Vs Man Utd
Chelsea Vs Wolves
Kwenye vita ya kushuka daraja kuna timu tatu ambazo ni Bournemouth, Watford na Aston Villa, zinatafutwa timu mbili za kuungana na Norwich.
Mechi za mwisho;
Aston Villa Vs West Ham
Watford Vs Arsenal
Bournemouth Vs Everton
Tabiri timu mbili zitakazoingia top 4 kuungana na bingwa Liverpool na Man City na timu mbili zitakazoungana na Norwich kushuka daraja!
Top 4 yangu; Liver, Man City, Man Utd na Chelsea
Wanaoshuja daraja; Norwich, Bournemouth na Watford
Karibu kwa utabiri wako