CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
[emoji85][emoji85]Wasimamizi wengi wavaa miwani huwa wanachapa usingizi tu na ni wazembe mno
Nilikuwa na kalamu za biki 3 na kompasi utazani nilikuwa na mchoro wa hesabu wa kuchora. Ila nilifaulu vizuri sana Math 47, Lugha 44, Maarifa (Siyo yamii) hapa naamanisha Geo, Sayansi, Historia, S/Kimu, S/Kilimo nk 49 nikapelekwa shule nzuri sana enzi hizo tunaita za vipajiKwa kuanza tuwaombee dua wanetu, wajukuu zetu, wadogo zetu wanaofanya mitihani yao leo na kesho...
Turudi kwenye mada,
Nakumbuka siku moja kabla ya mtihani wangu wa darasa la saba tulikwenda shule kuosha madawati, tulikuwa na viwembe kukwangua michoro na maandishi yote kwenye madawati. aisee tulisugua na kukwangua mpaka madawati yakawa kama yamepigwa randa.
hebu na wewe tupia tukio ulilofanya wakati wa mtihani wa darasa la saba.
CL
Umenikumbushà mbaliiKwa kuanza tuwaombee dua wanetu, wajukuu zetu, wadogo zetu wanaofanya mitihani yao leo na kesho...
Turudi kwenye mada,
Nakumbuka siku moja kabla ya mtihani wangu wa darasa la saba tulikwenda shule kuosha madawati, tulikuwa na viwembe kukwangua michoro na maandishi yote kwenye madawati. aisee tulisugua na kukwangua mpaka madawati yakawa kama yamepigwa randa.
hebu na wewe tupia tukio ulilofanya wakati wa mtihani wa darasa la saba.
CL
Nilikuwa na kalamu za biki 3 na kompasi utazani nilikuwa na mchoro wa hesabu wa kuchora. Ila nilifaulu vizuri sana Math 47, Lugha 44, Maarifa (Siyo yamii) hapa naamanisha Geo, Sayansi, Historia, S/Kimu, S/Kilimo nk 49 nikapelekwa shule nzuri sana enzi hizo tunaita za vipaji
Kama sio Gilman Rutihinda hyo shule!basi private!Shuleni Kwetu Tulifundishwa Mbinu za Kusaidiana kwenye Chumba cha Mtihani ikiwa Mtihani umekuwa mgumu so tulifundishwa alternative way, Mfano Mko kwenye Chumba cha Mtihani na Msimamizi kakomaa kweli kapiga jicho lote..... Na mnashindwa kubadilishana Karatasi za Majibu kutoka kwa kinara wa Darasa, mloandika kwa Pensel ... mwanafunzi wa Mwisho wale Backbanja .. anadondosha kalamu au Rula alafu anagonga Dawati Kumwita Msimamizi ...so Msimamizi akiinama tu kuokota Ile Rula au Kalamu ... Tayari Wanafunzi Walioko karibu na Vinara wa Darasa wanafanya Exchange fasta Bin haraka !!!, .... Pia ukiona Msimamizi amegoma kuokota Kalamu au akatoa Ruhusa kwa Mwanafunzi kuokota ile Rula ...hapo anajitokeza Mmoja anagonga Dawati ...ili aombe Ruhusa aende kukojoa chooni Hapo piga ua lazima Msimamizi atoke na yule Msimamizi ili akamkanidhi kwa asikari amsindikize Chooni ... Hapo Darasa Lina Exchange Papers....... Miaka hiyo bhanaa acha kabisa Tulifaulu Karibia wote [emoji23][emoji23][emoji23] [emoji847][emoji847][emoji847]
So private MkuuKama sio Gilman Rutihinda hyo shule!basi private!
Walimu wenu vilaza!So private Mkuu
Hofu yao tu ila Mwanafunzi tulikuwa Good sanaWalimu wenu vilaza!