Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa mbona hunipendii??wewe mke wangu bhana
Unajua ni kiasi gani nimepoteza confidence kwenye mambo yetu yale kwa ajili yakoooo???[emoji20]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa mbona hunipendii??wewe mke wangu bhana
mke tulia tu nipo kwajiri yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa mbona hunipendii??
Unajua ni kiasi gani nimepoteza confidence kwenye mambo yetu yale kwa ajili yakoooo???[emoji20]
Shunie njoooo jamanii[emoji26][emoji26][emoji26]mke tulia tu nipo kwajiri yako
Hamjupikiwa pilau mzee, mm nakumbuka mwaka ule tulikula shuleniNakumbuka siku ya mtihani kwa vile tunashinda shuleni kutwa nzima, hivyo tunaenda na chakula, jamaa mmoja jina nimemsahau alikuja na machapati magumu hayo af yanaunga..... hakuwa na soda wala maji anayatafuna ivo ivo....... dah....... mademu wakamuonea huruma walimrundikia mamisosi, mzee baba alikula kinoma... kufika class tumbo likaanza kuzingua..... dadek..... kila akienda toi, akirud kabla hajakaa..... kainuka..... ilikuwa balaa. ikabidi atoke na mwalimu mmoja wakae karibu na toi hadi amalize pepa.
Niliyapata ofisi ya afisa elimu mkoa, hafu miaka ile ukifaulu vizuri unatafutwa na mwalimu mkuu wa shule yako chezea kufaulu weweMatokeo ya Primary hayabandikwi, ulijuaje?
Enzi hizo namaliza elimu ya sec, Y2K ilikuwa inaogopesha tuliambiwa ndo mwisho wa dunia, walokole Mungu anawaonaHahaha, wazee wa Y2K.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] du! Mm hadi Leo sielewi ilikuwaje nikafaulu vizuri std 7 wakati hakukuwa na wizi wala kuoneshwa majibuDarasa la saba tulinunua majibu kwa shilingi 15,000/-, mimi nikakubaliana na jamaa niliyekaa naye dawati moja snipe 5,000/- nimpe majibu yote.
Tulifanya paper zote na nilimpa majibu yote ila hakunipa hata 100, akamwambia mzee wake, mzee wake akamwambia baba, baba akaja kunibana nikamwambia ilibidi nifanye hivyo kwa sababu zile karatasi za majibu zilikuwa zikiletwa wanaziona na alitishia kunisema.
Matokeo yalivyotoka jamaa hakufaulu, tuliofaulu ni wale tuliotoa hela peke yake, akaanza kulalamika kwamba nilimpa majibu ya uongo, nikamuuliza ulitoa sh ngapi?
Kitu ambacho sielewi mpaka leo ni kwa nini tuliowapa majibu hawakufaulu wakati tumejaza sawa sawa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] du! Mm hadi Leo sielewi ilikuwaje nikafaulu vizuri std 7 wakati hakukuwa na wizi wala kuoneshwa majibu
Hamjupikiwa pilau mzee, mm nakumbuka mwaka ule tulikula shuleni
Sasa hiki ni kimbwanga au usafi tu kawaida?Kwa kuanza tuwaombee dua wanetu, wajukuu zetu, wadogo zetu wanaofanya mitihani yao leo na kesho...
Turudi kwenye mada,
Nakumbuka siku moja kabla ya mtihani wangu wa darasa la saba tulikwenda shule kuosha madawati, tulikuwa na viwembe kukwangua michoro na maandishi yote kwenye madawati. aisee tulisugua na kukwangua mpaka madawati yakawa kama yamepigwa randa.
hebu na wewe tupia tukio ulilofanya wakati wa mtihani wa darasa la saba.
CL
Sana tukumbe wewe dogo janja
Usafi mkuuSasa hiki ni kimbwanga au usafi tu kawaida?