Tupia vimbwanga vya siku ya mtihani wa darasa la saba

Hamjupikiwa pilau mzee, mm nakumbuka mwaka ule tulikula shuleni
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] du! Mm hadi Leo sielewi ilikuwaje nikafaulu vizuri std 7 wakati hakukuwa na wizi wala kuoneshwa majibu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] du! Mm hadi Leo sielewi ilikuwaje nikafaulu vizuri std 7 wakati hakukuwa na wizi wala kuoneshwa majibu

Mimi nilikuwa best class, na ile mitihani ya kata nilikuwa ni lazima niwe wa kwanza.

Ila kabla ya paper mwalimu mkuu alimfata mdingi akamwambia, hata kama mwanao ana akili, hawezi kumshinda mwalimu wake.

Kwa hiyo akaambiwa ni lazima atoe hiyo 15,000/- hata kama sitayatumia majibu.

Na hata majibu yalivyokuwa yanaletwa muda mwingi nakuwa nimeshamaliza, nabaki nalinganisha, na kuna makosa walikuwa wanayaweka ili tusifanane.
 
Sasa hiki ni kimbwanga au usafi tu kawaida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…