Tupige kura kuamua au kukataa serkali kubinafsisha bandari zetu

Je unakubaliana serkali ya Samia kubinafsisha bandari zetu au unapinga?

  • Yes

    Votes: 4 12.5%
  • No

    Votes: 28 87.5%
  • Abstain

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    32
  • Poll closed .

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Moderators Kama mtaona inafaa tuwaache wanajamii forums ambao ndio platform kubwa kupitia zote hapa Tanzania members wake waamue Kama ndio au hapana ili kutoa sauti ya pamoja kwa jambi hili lililogawa taifa na kuzua maswali mengi bila majibu,

Tupige kura hapa kauona uungaaju mkono wa saula la bandari

Je unakubaliana na serkali ya Samia kubinafsisha bandari zetu au unapinga? Piga kura hapa?
 
Wazo zuri
 
Jana tu nimemuuliza Mbunge wangu hapa Mafinga, "wewe ndo Mwakilishi wetu, ni lini ulituuliza kuhusu ubinafisishaji wa Bandari zetu tukakutuma ukaseme ndiyoo? Hana majibu zaidi ya kusema yeye Hana haja ya kutuuliza maana anajua mahitaji yetu.
 
Wewe kura yako I upande gani? Upo na kina Lord denning na FaizaFoxy ?
 
Bora Kubinafsisha tu ili kuleta ufanisi mzuri kuliko kuendelea kukumbatia hasara za hovyo......

muhimu mkataba utakaofikiwa wa uendeshaji uwe na manufaa kwa pande zote.
 
Idea nzuri but kwa Tanzania hii haiwezi kuwa na msaada labda huko kwenye dunia ya wenzetu.

Hiko hivi ata mtu akivote for or agaist hakuna mabadiliko serikali yako itafanya.Unaona watu wanapaza sauti zao kwenye hizi social media but who cares?kuonyesha watu wameumizwa,imefunguliwa hadi kesi mahakamani kupinga huu mkataba na vipengele vyake lakini usitegemee kama haya yote yatabadili chochote.

Watanzania ni wanafiki na wamefanya unafiki kuwa sehemu ya maisha yao.Tulieni tu hizo bandari ziuzwe na mengine yaliyokusudiwa yatimie hili kila mtu apate funzo in a hard way maana hili litakuwa somo tosha
 
Moderators Kama mtaona inafaa tuwaache wanajamii forums ambao ndio platform kubwa kupitia zote hapa Tanzania members wake waamue Kama ndio au hapana ili kutoa sauti ya pamoja kwa jambi hili lililogawa taifa na kuzua maswali mengi bila majibu,

Tupige kura hapa kauona uungaaju mkono wa saula la bandari

Je unakubaliana na serkali ya Samia kubinafsisha bandari zetu au unapinga? Piga kura hapa?
Weka vizuri hizo options zisichanganye watu ziwe hivi:

Naunga mkono

Napinga

Sijui
 
Hivi jf ina active members wangapi, maana kama hata 1m hatufiki japo maoni yetu ni very tangible.

Nawaza kwa nini hadi mwaka huu, almost 20yrs jf haijafikisha members milioni moja.
 
Jana tu nimemuuliza Mbunge wangu hapa Mafinga, "wewe ndo Mwakilishi wetu, ni lini ulituuliza kuhusu ubinafisishaji wa Bandari zetu tukakutuma ukaseme ndiyoo? Hana majibu zaidi ya kusema yeye Hana haja ya kutuuliza maana anajua mahitaji yetu.
Huyo anayejua mahitaji yako kabla hujamwambia ni hatari. Usimruhusu akuwakilishe.
 
Samia kwasababu nayeye alisema ni member humu atapiga NO bila shaka maana anajua kuna wahuni wanamtegea Bomu la machozi 2025😀😀

Then,ni idea nzuri itasaidia kufikisha ujumbe Kwa watawala waliopo humu kwasababu wanasoma mijadala ya humu
 
Bora Kubinafsisha tu ili kuleta ufanisi mzuri kuliko kuendelea kukumbatia hasara za hovyo......

muhimu mkataba utakaofikiwa wa uendeshaji uwe na manufaa kwa pande zote.

Hakuna mtu anakataa kubinafishwa, lakini at what cost? Time frame hakuna, anga nalo limejumuishwa.
Hizo ni critical places za usalama wa nchi , sio shopping mall hiyo

Marekebisho yafanyike kwanza
 
Idea nzuri but kwa Tanzania hii haiwezi kuwa na msaada labda huko kwenye dunia ya wenzetu.

Hiko hivi ata mtu akivote for or agaist hakuna mabadiliko serikali yako itafanya.Unaona watu wanapaza sauti zao kwenye hizi social media but who cares?kuonyesha watu wameumizwa,imefunguliwa hadi kesi mahakamani kupinga huu mkataba na vipengele vyake lakini usitegemee kama haya yote yatabadili chochote.

Watanzania ni wanafiki na wamefanya unafiki kuwa sehemu ya maisha yao.Tulieni tu hizo bandari ziuzwe na mengine yaliyokusudiwa yatimie hili kila mtu apate funzo in a hard way maana hili litakuwa somo tosha
Bado ni idea nzuri sana!
 
Hakuna mtu anakataa kubinafishwa, lakini at what cost? Time frame hakuna, anga nalo limejumuishwa.
Hizo ni critical places za usalama wa nchi , sio shopping mall hiyo

Marekebisho yafanyike kwanza
Tunapiga kura kwa msatakabali wa yanayojili. Wazo la kupiga kura litawasaidia na wajinga kutoka kule waliomo humu
 
Back
Top Bottom