Wazo zuriModerators Kama mtaona inafaa tuwaache wanajamii forums ambao ndio platform kubwa kupitia zote hapa Tanzania members wake waamue Kama ndio au hapana ili kutoa sauti ya pamoja kwa jambi hili lililogawa taifa na kuzua maswali mengi bila majibu,
Tupige kura hapa kauona uungaaju mkono wa saula la bandari
Je unakubaliana na serkali ya Samia kubinafsisha bandari zetu au unapinga? Piga kura hapa?
Jana tu nimemuuliza Mbunge wangu hapa Mafinga, "wewe ndo Mwakilishi wetu, ni lini ulituuliza kuhusu ubinafisishaji wa Bandari zetu tukakutuma ukaseme ndiyoo? Hana majibu zaidi ya kusema yeye Hana haja ya kutuuliza maana anajua mahitaji yetu.Moderators Kama mtaona inafaa tuwaache wanajamii forums ambao ndio platform kubwa kupitia zote hapa Tanzania members wake waamue Kama ndio au hapana ili kutoa sauti ya pamoja kwa jambi hili lililogawa taifa na kuzua maswali mengi bila majibu,
Tupige kura hapa kauona uungaaju mkono wa saula la bandari
Je unakubaliana na serkali ya Samia kubinafsisha bandari zetu au unapinga? Piga kura hapa?
Wewe kura yako I upande gani? Upo na kina Lord denning na FaizaFoxy ?Moderators Kama mtaona inafaa tuwaache wanajamii forums ambao ndio platform kubwa kupitia zote hapa Tanzania members wake waamue Kama ndio au hapana ili kutoa sauti ya pamoja kwa jambi hili lililogawa taifa na kuzua maswali mengi bila majibu,
Tupige kura hapa kauona uungaaju mkono wa saula la bandari
Je unakubaliana na serkali ya Samia kubinafsisha bandari zetu au unapinga? Piga kura hapa?
Weka vizuri hizo options zisichanganye watu ziwe hivi:Moderators Kama mtaona inafaa tuwaache wanajamii forums ambao ndio platform kubwa kupitia zote hapa Tanzania members wake waamue Kama ndio au hapana ili kutoa sauti ya pamoja kwa jambi hili lililogawa taifa na kuzua maswali mengi bila majibu,
Tupige kura hapa kauona uungaaju mkono wa saula la bandari
Je unakubaliana na serkali ya Samia kubinafsisha bandari zetu au unapinga? Piga kura hapa?
Huyo anayejua mahitaji yako kabla hujamwambia ni hatari. Usimruhusu akuwakilishe.Jana tu nimemuuliza Mbunge wangu hapa Mafinga, "wewe ndo Mwakilishi wetu, ni lini ulituuliza kuhusu ubinafisishaji wa Bandari zetu tukakutuma ukaseme ndiyoo? Hana majibu zaidi ya kusema yeye Hana haja ya kutuuliza maana anajua mahitaji yetu.
Bora Kubinafsisha tu ili kuleta ufanisi mzuri kuliko kuendelea kukumbatia hasara za hovyo......
muhimu mkataba utakaofikiwa wa uendeshaji uwe na manufaa kwa pande zote.
Bado ni idea nzuri sana!Idea nzuri but kwa Tanzania hii haiwezi kuwa na msaada labda huko kwenye dunia ya wenzetu.
Hiko hivi ata mtu akivote for or agaist hakuna mabadiliko serikali yako itafanya.Unaona watu wanapaza sauti zao kwenye hizi social media but who cares?kuonyesha watu wameumizwa,imefunguliwa hadi kesi mahakamani kupinga huu mkataba na vipengele vyake lakini usitegemee kama haya yote yatabadili chochote.
Watanzania ni wanafiki na wamefanya unafiki kuwa sehemu ya maisha yao.Tulieni tu hizo bandari ziuzwe na mengine yaliyokusudiwa yatimie hili kila mtu apate funzo in a hard way maana hili litakuwa somo tosha
Tunapiga kura kwa msatakabali wa yanayojili. Wazo la kupiga kura litawasaidia na wajinga kutoka kule waliomo humuHakuna mtu anakataa kubinafishwa, lakini at what cost? Time frame hakuna, anga nalo limejumuishwa.
Hizo ni critical places za usalama wa nchi , sio shopping mall hiyo
Marekebisho yafanyike kwanza