Tupige kura, timu ipi ina washabiki wengi kati ya SIMBA na YANGA!

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
7,385
Reaction score
10,659
...Wakuu salaam!
Kuna mdau kaanzisha mada na kuonesha Yanga ni namba 1 kwa kuwa na washabiki wengi, binafsi nakataa. Simba ndiyo inaongoza kwa kuwa na washabiki wengi.

Sasa ili kuweka rekodi sawa, tupige kura kwa kujitaja wewe ni mshabiki wa timu gani kisha mwishoni tutatoa matokeo yatakayotumika kama sample ya washabiki wote.

Naanza mimi!
 
Ungecreate poll. Ili abofye tu
 
Kwenye hili jukwaa la sport kuna speciàl thread za simba na yanga: hebu angalia idadi ya wachangiaji ndo utajua timu gani inawashabiki wengi. Na hiyo ndo sample tosha kabisa ya kura unazotaka kuanzisha humu.
 
Unajua kwa historia ya nchi yetu kila mshabiki wa simba ni mshabiki wa yanga(automatically) lakini mshabiki wa yanga halazimiki kuwa mshabiki wa simba.
Hivyo baada ya kura chukuwa wa yanga changanya na simba utapata jibu yanga ina wangapi na simba ina wangapi?
 
Kwenye hili jukwaa la sport kuna speciàl thread za simba na yanga: hebu angalia idadi ya wachangiaji ndo utajua timu gani inawashabiki wengi. Na hiyo ndo sample tosha kabisa ya kura unazotaka kuanzisha humu.
We piga kura tu acha maneno mingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…