Tupige kura, timu ipi ina washabiki wengi kati ya SIMBA na YANGA!

Rafiki, vya bure havinaga mshabiki, pale hata wanasimba na wasio na timu waliingia. Hilo si la kusemea kuwa wana Yanga ni wengi.Ukitaka kujua washabiki halisi weka kiingilio like siku ya Simba aka Simba day!
 
Mpaka sasa SIMBA inaongoza kwa polls!!

Tuache kuzunguka, just weka vote yako, after some threads utajudge ni timu ipi inaongoza!
 
Wa matopeni mnaambiwa muweke kura mnaanza maneno ya vyura vyura mnayofunzwa na Mzee Akilimali.
 

Ni sawa na kusema tupi

Ni sawa na kusema tupige kura ni mji gani una watu wengi zaidi kati ya Dar es Salaam na Mwanza...Hapana shaka yoyote ile Yanga ndiyo yenye mashabiki wengi zaidi na hii inatokana na historia...hii ni timu ya wananchi...wengi ni watu wa kawaida sana...historically Simba ilikuwa ya watu wenye pesa na hasa waarabu...na hata sasa waarabu ndio waliojaa Simba...Na ukiona Simba anaishinda Yanga uwanjani ujue tu Yanga kuna mgogoro....Pasipo mgogoro Simba kamwe hawezi kuishinda Yanga uwanjani...Ila Simba huwa anatumia udhaifu huu wa kuifunga Yanga...Wanachama na wapenzi wa Yanga ni rahisi kurubuniwa ili kuifungisha timu yao...Wako wanachama wa Yanga ambao wako tayari kuhongwa vijisenti vichache kuifungisha timu yao...Huu ndio udhaifu wa Yanga...
 
Mechi ya mabingwa Wa kihistoria Young Africans Football Club "the Citizen team" na biashara united ni sangapi?
 
Tangu enzi za ukoloni washabiki wa simba hawajawahi kufikia nusu ya mashabiki wa yanga! ila mashabiki wa simba wana mdomo na ni wapiga makelele kweli kweli! @hajimanarra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…