Tupike makande

Tupike makande

KENZY otea hii juice gani nimetengeza now
1739978562799.jpeg
 
Kusema ukweli kabisa hiki chakula nakikubali, shida yake moja tu ukila kila baada ya masaa 2 utakula tena hakishiki tumboni ni kama upepo.
Na kwa ushauri tu kula weekend upo home usije kula unaenda ofisi za watu unaweza kuumbuka usipokuwa makini
 
😂😂😂 why uumbuke
 
Back
Top Bottom