Tupike makande

Tupike makande

Nimezitamaniiiii although sisi wapare toleo la kwanza kabisa😜 hapo hizo kande tunatia na boga (ikoko) unakua umelichemsha pembeni unakuja liweka na nazi ya kukuna unaanza na tui la pili halafu unamalizia la kwanza, Aloooo hushibi kabisa unajikuta unakula tuu. Hongera umezipika pia vizuri 👍🏽
 
Asante sana
 
Haya makande yanaonekana matamu . Nimependa jinsi ulivyopika, sijayala siku nyingi nitatumia recipe hii nikiyapika tena.
 
Back
Top Bottom