MSETO WA (CHOROKO, KUNDE, DENGU) - chagua kimojawapo
MAHITAJI
-mchele (kwa kiasi chako)
-nataka uliyochagua (ratio iwe kg 1:1/2 nafaka
-nazi/maziwa fresh
-vitunguu maji
-tangawizi.
-chumvi
-maji
how
-pika kunde, maharage, DENGU, choroko viive
-andaa mchele
-twanga au kereza tangawizi
-vitunguu vikate pia, vile saumu viponde
-bandika jikoni sufuria la tui l? nazi (fata process za tui kama nilivoelekeza kwenye pishi l? mini biriani)
kama ni maziwa yachemshe pia
-kisha bandika mafuta jikoni kaanga vitunguu, saumu, kisha vitunguu maji, kisha tangawizi, kisha weka nafaka yako, geuza kama mara tatu kisha weka mchele uliokoshwa, geuza pamoja vichanganyike
-weka tui lililochemka(lile la chini) wengu lake liache kwanza
-kwa anayetumia maziwa pia ataweka kwa stage hii geuza kisha funika uive
-utaacha ukauke geuza mara moja, punguza moto
-utageuza tena, palia au weka kwenye oven
after 5 mins uko tayar,
-serve na salad of UR choice mi hupenda nda kuila na guacamole (parachichi lililopondwa likachanganywa na white vinegar na nyanya zilizokatwa cubes ndogo ndogo)
enjoy.
cc
The Boss