Tupike mchele kwa mapishi tofauti

Tupike mchele kwa mapishi tofauti

Hili jukwaa nalipenda ila mara nyingi huwa nahisi sio level yangu mana mareciple yanayotajwa huku ni balaa mengine sijawahi hata kuyasikia

Sometimes hayo ma-reciple tanayotajwaga huwa hata sijawahi yasikia na hata kuyaona ktk haya msaoko yetu ya kawaida (kkoo).
 
Sometimes hayo ma-reciple tanayotajwaga huwa hata sijawahi yasikia na hata kuyaona ktk haya msaoko yetu ya kawaida (kkoo).

Hahaa ndio maana tuliozoea kununua mahitaji buguruni na kariakoo inatupa ugumu kujifunza mapishi ya hum ndani aisee
 
Breadcrumbs ni chengachenga za mkate uliopondwa baada ya kukaushwa kwa kuokwa kidogo...

Baada ya kuoka/kuchemsha kiazi kwa viungo unavyopendelea, kiazi unakiviriga katika breadcrumbs and then unakivirika katika yai lililopondwa pondwa na baada ya hapo una deep fry...

Kwa waliowahi kutengeneza katlesi hii process watakuwa wanaijua...
Ahsante mkuu..Ntajaribu hii
 
Hahaa ndio maana tuliozoea kununua mahitaji buguruni na kariakoo inatupa ugumu kujifunza mapishi ya hum ndani aisee

Taratibu taratibu hivyo hivyo tutajua tu kwa maana hamna namna
 
Hahaa ndio maana tuliozoea kununua mahitaji buguruni na kariakoo inatupa ugumu kujifunza mapishi ya hum ndani aisee
mi vitu ninavotumia kupika nanunua ma gengeni, sinaga tu huo utaratibu wa kununua vitu kwenye malls, kwa hela ipi mumuu, usijiwekee uzio wa kujifunza! vyote nilivotaja vipo at ur very kariakoo na buguruni na dukani kwa mpemba wa viungo popote!
 
MSETO WA (CHOROKO, KUNDE, DENGU) - chagua kimojawapo
MAHITAJI
-mchele (kwa kiasi chako)
-nataka uliyochagua (ratio iwe kg 1:1/2 nafaka
-nazi/maziwa fresh
-vitunguu maji
-tangawizi.
-chumvi
-maji
how
-pika kunde, maharage, DENGU, choroko viive
-andaa mchele
-twanga au kereza tangawizi
-vitunguu vikate pia, vile saumu viponde
-bandika jikoni sufuria la tui l? nazi (fata process za tui kama nilivoelekeza kwenye pishi l? mini biriani)
kama ni maziwa yachemshe pia
-kisha bandika mafuta jikoni kaanga vitunguu, saumu, kisha vitunguu maji, kisha tangawizi, kisha weka nafaka yako, geuza kama mara tatu kisha weka mchele uliokoshwa, geuza pamoja vichanganyike
-weka tui lililochemka(lile la chini) wengu lake liache kwanza
-kwa anayetumia maziwa pia ataweka kwa stage hii geuza kisha funika uive
-utaacha ukauke geuza mara moja, punguza moto
-utageuza tena, palia au weka kwenye oven
after 5 mins uko tayar,
-serve na salad of UR choice mi hupenda nda kuila na guacamole (parachichi lililopondwa likachanganywa na white vinegar na nyanya zilizokatwa cubes ndogo ndogo)
enjoy.
cc The Boss
 
Last edited by a moderator:

Naomba picha za hilo pishi tafadhali, nilione mwonekano hafu na mie xmass nipike surprise for my family kama taswira ya hilo pishi likiwa zuri. Na je khs kunukia kupoje..!?
 
Last edited by a moderator:
Naomba picha za hilo pishi tafadhali, nilione mwonekano hafu na mie xmass nipike surprise for my family kama taswira ya hilo pishi likiwa zuri. Na je khs kunukia kupoje..!?
nilikuwa na picha nikaflush simu, ila trust me! NI mtamu machoni, mdomoni, na pwani!! wataupenda
 
VEG RICE
Mahitaji.
-Mchele (kwa kipimo chako)
-karoti
-broccoli
-vitunguu vichanga
-red cabbage
-vanilla(ukipata ile ya kienyeji unprocessed) poa zaidi, ulizia masokoni ipo
-Green beans
-sweet corn, vijiko vitano
mafuta (ukiweza kuufanya steamed au boiled poa zaidi) ila mchele uwe the most super. vingnevyo tumia tu mafuta

how
-andaa mchele
-chemsha maji
-bandika mafuta kisha kaanga mchele ukiwa umeweka vanilla kaanga vizur, Weka chumvi, Weka maji, geuza funika uive
-osha na kata mboga mboga zote kwenye bakuli moja, broccoli ikate kwa kufuata pattern yake ya kitawi kimoja kimoja, vimix vikiwa vibichi, uone rangi zote a a single glance
-funua wali, Weka mboga zote hapo juu, funika kwa dakika tano, kisha geuza wali wako hakikisha ziko mixed na wali vizur
-funika, punguza moto!
-after five mins ipua
-serve na juice, chai, maziwa
 
kuna siku nilitumia kiporo cha wali kuandaaa pizza, hehehe
 
Attachments

  • IMG_20151205_100129.jpg
    IMG_20151205_100129.jpg
    105.5 KB · Views: 240
Mtani weka dau!
sema suuuuu

Mtani we kiboko aisee...hahaha

Huo msosi naufananisha na msosi fulani wa kimexicana wanatumia vichapati halafu wanavivirika na kitu chochote hapo kati...

Kuna wengine wanaweka wali, parachichi, nyama, pilipili...lakini huwa vinakuwa vitamu hivyo
 
Unaongelea taccos?
 
Back
Top Bottom