Tupime Pombe na Madawa ya Kulevya kwa Wafanyakazi Taasisi za Serikali na Bunge

Tupime Pombe na Madawa ya Kulevya kwa Wafanyakazi Taasisi za Serikali na Bunge

Utauwa Watu Wewe

Unadhani Nurse Wa Kariakoo Kayaokota Yale Yule Akibanwa Vema Nchi Itatikisikia, Yaani Kakutwa Na Kiroba

Utauwa Watu Wewe

Unadhani Nurse Wa Kariakoo Kayaokota Yale Yule Akibanwa Vema Nchi Itatikisikia, Yaani Kakutwa Na Kiroba

Kama tunataka nchi yetu iende mbele lazima hii kitu ifanya kazi la sivyo tutakuwa na nchi yakiwaki na viongozi wa kiwaki. Maamuzi ya kiduandi kuanzia ikulu mpaka nyumbani.
 
Ndio hali halisi hiyo. Tuwe na waleta maamuzi ambao wako sane maana pombe ina currupt medulla za watu wanafanya maamuzi ya kiduanzi.
Pombe haina shida; tatizo ni zaidi ya hiyo. Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa NSSF alikuwa hatumii kileo hata tone na alikuwa na musikiti ndani ya ofisi za NSSF lakini alikuwa corrupt hatari. You see?
 
Pombe haina shida; tatizo ni zaidi ya hiyo. Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa NSSF alikuwa hatumii kileo hata tone na alikuwa na musikiti ndani ya ofisi za NSSF lakini alikuwa corrupt hatari. You see?
Brother. Shida sio pombe tu ndo maana nikasema wapimwe na mokojo kujua ka.a wanatumia either cocaine, heroine au marijuana.

Yani tupime kila kitu.
 
Kama dereva wa basi linalobeba abiria au rubani wa ndege inayobeba abiria au daktari mpasuaji haruhusiwi kufanya kazi baada ya kunywa pombe, kwa nini wabunge waruhusiwe?
 
Kama dereva wa basi linalobeba abiria au rubani wa ndege inayobeba abiria au daktari mpasuaji haruhusiwi kufanya kazi baada ya kunywa pombe, kwa nini wabunge waruhusiwe?
Ndio ujinga amboa hatutaki mzee. Rubani gani wa nchi za wenzetu anakunywa kabla aanze safari? Hivi nyie watu wa kijijini nani huwa anawadanganya?

Tuulize sisi wa nchi zilizoendelea kama upumbavu kama huo haumpi mtu life sentence yani kifungo cha maisha jela. bbade ni uongo ndugulai?
 
Waziri kimemchelewesha nini kuingia bungeni?
 
Ni hapo unampima na unamkuta hajatumia kilevi wala madawa ya kulevya, halafu anatoa maamuzi ya kimashudu,lol
 
Back
Top Bottom