Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
- Thread starter
-
- #21
Uzuri mbege huwa haikai kwenye damu maana ile ni ulevi na chakula hapo hapo. Nyie mnaokunywa viroba bwashee lazima tuwaondoeTupimwe tu bwashee
Pale Ufipa st kwa mbege ni hatari
Kama tunataka nchi yetu iende mbele lazima hii kitu ifanya kazi la sivyo tutakuwa na nchi yakiwaki na viongozi wa kiwaki. Maamuzi ya kiduandi kuanzia ikulu mpaka nyumbani.Utauwa Watu Wewe
Unadhani Nurse Wa Kariakoo Kayaokota Yale Yule Akibanwa Vema Nchi Itatikisikia, Yaani Kakutwa Na Kiroba
Pombe haina shida; tatizo ni zaidi ya hiyo. Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa NSSF alikuwa hatumii kileo hata tone na alikuwa na musikiti ndani ya ofisi za NSSF lakini alikuwa corrupt hatari. You see?Ndio hali halisi hiyo. Tuwe na waleta maamuzi ambao wako sane maana pombe ina currupt medulla za watu wanafanya maamuzi ya kiduanzi.
Brother. Shida sio pombe tu ndo maana nikasema wapimwe na mokojo kujua ka.a wanatumia either cocaine, heroine au marijuana.Pombe haina shida; tatizo ni zaidi ya hiyo. Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa NSSF alikuwa hatumii kileo hata tone na alikuwa na musikiti ndani ya ofisi za NSSF lakini alikuwa corrupt hatari. You see?
“Sergion” ndio nani au mtu anayefanya kazi gani?Du ha ha ha! Simply not practible huku duniani ili sergion awe na ujasiri kumpasua mgonjwa kwanza anapata glass ya hard drink na operation inaenda vema je utamfukuza kazi?
Fnck in vino veritas. Hata kama aliekunywa anasema ukweli ila sio huu ujingaWabunge wapewe pombe za kutosha. In vino veritas
Ndio ujinga amboa hatutaki mzee. Rubani gani wa nchi za wenzetu anakunywa kabla aanze safari? Hivi nyie watu wa kijijini nani huwa anawadanganya?Kama dereva wa basi linalobeba abiria au rubani wa ndege inayobeba abiria au daktari mpasuaji haruhusiwi kufanya kazi baada ya kunywa pombe, kwa nini wabunge waruhusiwe?
Sergio 'Biscuits' yule beki wa Barcelona“Sergion” ndio nani au mtu anayefanya kazi gani?
Mwenyewe hapa nishalewa hata sijielewi ila pombe ndio na madawa ndio shida ya viongozi wetu. Usikute hata huyu mama wanamwekea spirits kwenye chakula.Nakunywa ila pombe sio nzuri
Zamani kuna watawala walikuwa wanaendesha mabaraza huku watu wakipigw pombe za kutosha. Watu walikuwa wanafunguka balaa.Fnck in vino veritas. Hata kama aliekunywa anasema ukweli ila sio huu ujinga
Saivi tuanze kuwapima. Hao ndio walitufikisha hukuZamani kuna watawala walikuwa wanaendesha mabaraza huku watu wakipigw pombe za kutosha. Watu walikuwa wanafunguka balaa.
Ni hapo unampima na unamkuta hajatumia kilevi wala madawa ya kulevya, halafu anatoa maamuzi ya kimashudu,lol
Happ sasNi hapo unampima na unamkuta hajatumia kilevi wala madawa ya kulevya, halafu anatoa maamuzi ya kimashudu,lol