hatuwezi wote kuwa wabunge! Nani atajenga madaraja, Nani atalima, Nani atajenga minara, Nani atakulinda wewe ....hapa tunaangalia keki ya Taifa je inatumika ipasavyo?Hii ndio Tanzania , unaambiwa kama ubunge una maslahi gombea na wewe
Tuwaombe wabunge wapunguze posho zao angalau jumla wapate 5M. Kuna watumishi wengine wanalipwa 3.5k au pungufu na hawana posho, wanalipa kodi ya nyumba, wanalipia huduma za maji na umeme, hawana bima kama wanayo baadhi ya matibabu hawapati. Wabunge wa awamu ijayo nahisi si walafi watapenda wengine nao wawe na mishahara minono, huduma nzuri za kijamii na matibabu kwa bei nafuu au bila malipohatuwezi wote kuwa wabunge! Nani atajenga madaraja, Nani atalima, Nani atajenga minara, Nani atakulinda wewe ....hapa tunaangalia keki ya Taifa je inatumika ipasavyo?
Ebu piga hesabu idadi ya majimbo inchi nzima 264 zidisha kwa pesa hiyo! Ni kiasi gan Cha pesa kinapotea?
sijui Kama huruma hiyo wanayo! just imagine Mambo Kama haya yanachangia hata wachungaji wanaacha kondoo kwenda kugombea!Tuwaombe wabunge wapunguze posho zao angalau jumla wapate 5M. Kuna watumishi wengine wanalipwa 3.5k au pungufu na hawana posho, wanalipa kodi ya nyumba, wanalipia huduma za maji na umeme, hawana bima kama wanayo baadhi ya matibabu hawapati. Wabunge wa awamu ijayo nahisi si walafi watapenda wengine nao wawe na mishahara minono, huduma nzuri za kijamii na matibabu kwa bei nafuu au bila malipo
hakika kiasi hicho cha pesa kinapotea...output ni ndogo sana sana!.hatuwezi wote kuwa wabunge! Nani atajenga madaraja, Nani atalima, Nani atajenga minara, Nani atakulinda wewe ....hapa tunaangalia keki ya Taifa je inatumika ipasavyo?
Ebu piga hesabu idadi ya majimbo inchi nzima 264 zidisha kwa pesa hiyo! Ni kiasi gan Cha pesa kinapotea?
akili yako matope! kwahiyo tukikupa hadhina utalipa hovyo hovyo ALMRADI nafas ipo!Kama inakuuma gombea na wewe
ππHiyo yote plus the fact that hakuna mtu wa kukutumbua na kukuabisha jukwani kwa kosa dogo tu la kumkonyeza mchepuko wake. Ubunge mtamu asikwambie mtu
Kumbe das alimkonyeza kidotHiyo yote plus the fact that hakuna mtu wa kukutumbua na kukuabisha jukwani kwa kosa dogo tu la kumkonyeza mchepuko wake. Ubunge mtamu asikwambie mtu
ππΆπ€¨ππππ€
katibaGenge la walaji limeamua kujipakulia.