Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabunge wakitoa hoja hua wanajifanya wanauchungu sana na maslahi ya nchi, ila ukitaka kujua unafiki wao lizungumziwe hili bungeni halafu ipendekezwe wapunguziwe posho zao uone jinsi watakavyo kuja juu na kuungana wote kwa pamoja kupinga, bila ya kujali itikadi ya vyama vyao.Ukisema wapunguze bila kujali wa chama tawala au mpinzani wote huwa kitu kimoja...wabunge ukigusa maslahi yao hawatakuelewa .
sijakuelewaValue for money= thamani ya kazi/ huduma/kitu kulingana na pesa iliyotumika.
yaanHiyo yote plus the fact that hakuna mtu wa kukutumbua na kukuaibisha jukwaani kwa kosa dogo tu la kumkonyeza mchepuko wake. Ubunge mtamu asikwambie mtu
kabisa
Kama inakuuma gombea na wewe
umenena vyema kabisaKama mtakumbuka kuna miaka ya hivi karibuni walirudisha bilioni 11 kuchangia mchango wa madawati kutoka kwenye budget yao. Hii inathibitisha hapa kuna pesa za kumwaga au excess budget allocation.
Na hapo safari za nje zisizokuwa Na tija kwa sasa hazipo.
Waishi tu maisha halisia ya ki-Tanzania kama watu wengine. Hawa ndio wala keki ya taifa wengine tunaambulia makande tu. Budget ya bunge inabidi ipunguzwe na kupelekwa kwenye sekta nyingine zenye mahitaji kama shule, hospitali na barabara.
They are more equal than the other.
umeona eehWafunguliwe kesi ya uhujumu uchumi, hasa hiyo milioni 240. Hakuna mwanasiasa masikini wa pesa, labda wa kichwani (ujinga).
😉 😉Kumbe ndio maana Amber Ruty alipata kura sifuri za kuwania kugombea Ubunge