Kb Ulayaulaya
JF-Expert Member
- Jan 5, 2023
- 727
- 1,059
Wakati cdm wanatangaza list of shame waliweka ushahidi hadharani!?poa poa yamekwisha.
Mimi ni chadema kufa kupona ndiyo mana inaniuma ikipasuka.
Lisu nilikuwa nampenda sana, my gfavirite politician. "nimemchoka" kutokana na njia anazotumia kupata uenyekiti.
Actually katika hali ya kawaida nami ningelimpa Lisu kura. sasa anatafuta madaraka at the detriment of chama chake, kuwatukana wenzake, kuwasingizia vitu havina evidence.... etc etc! Kumbe hafai!
Ukiwa unafikiri kwa uwazi na ukweli utaona kwanini chama kimepoteza mvuto kutoka FAM kuzungukwa na wakina Prof Safari,Prof Baregu na sasa wanaomzunguka mwamba na kwanini iwe sasa Lissu,Heche,Lema hawafai ukikaa ukajiuliza unaweza ukatoka kwenye uchungu na kupata relief kwamba shida ni huyo unaemwamini,pia nenda youtube fatilia mahojiano ya kwanini Prof safari kaamu apumzike siasa unaweza ukapata kitu pia.poa poa yamekwisha.
Mimi ni chadema kufa kupona ndiyo mana inaniuma ikipasuka.
Lisu nilikuwa nampenda sana, my gfavirite politician. "nimemchoka" kutokana na njia anazotumia kupata uenyekiti.
Actually katika hali ya kawaida nami ningelimpa Lisu kura. sasa anatafuta madaraka at the detriment of chama chake, kuwatukana wenzake, kuwasingizia vitu havina evidence.... etc etc! Kumbe hafai!
huyu muungwana asie aminika,
ni mnafiki na msaliti wa kiwango cha juu mno, lakini pia na mtu ni wazi leo anaweza kusema hili kesho akasema lingine, yuko radhi hata kujikana yeye mwenyewew kwasababu tu ya tamaa na uchu wa madaraka
Mpaka mtakaposema kwann FAM alimtuma Wenje kumuondoa LISSU, wakati huohuo Kwa siku tatu za upatanisho akawa anajifanya "Mimi sijaamua lolote kuhusu uenyekiti na Urais "Msikilize huyu, halafu useme kama wenye akili wanaweza kumwamini kesho na keshokutwa
Ulitaka aseme mapema wamchachawangwe?Msikilize huyu, halafu useme kama wenye akili wanaweza kumwamini kesho na keshokutwa
Nimesikiliz Mahojiano ya Dr Slaa ya masaa mawili na nusu kule Youtube siku moja kabla ya kutekwa amefunbua mambo mengi yaliyotokea 2015 hadi akakimbia Kanada.Mshirika wa mama angalia mwenyewe kwenye uzi hata huu tu, kuwatambua wenzako.
Hivi kweli Mbowe na CCM mna agenda gani na hiki chama?
Yeye ndiye aliwaita Maaskofu akajifanya eti wameitwa kusuluhisha. Yale yale aliyofanya kwa Askofu Gwajima, Lowasa na Slaa.Mpaka mtakaposema kwann FAM alimtuma Wenje kumuondoa LISSU, wakati huohuo Kwa siku tatu za upatanisho akawa anajifanya "Mimi sijaamua lolote kuhusu uenyekiti na Urais "
Tukawastukiaaaa 🤣🤣🤣🤣
Lisu hanaga kumbukumbu.Akikuona tunakula nyama choma anakuambia ni pesa ya rushwaMsikilize huyu, halafu useme kama wenye akili wanaweza kumwamini kesho na keshokutwa
Mbowe aliahidi hatogembea tena ila ghafla kabadili mawazoWeka na ile ya Mbowe akisema mwisho wake wa uenyekiti ni 2024. Usisahau na ile ya kuwa Lowassa ni fisadi. Hapo tutakuwa kwenye nafasi nzuri ya kupima unachotaka tukiamini.
Hiki unachoshauri ndio kilimcost kamala harris aliogopa kumkosoa Biden wakaishia kuzama wotee. Lazima ukosoe ili uwape watu sababu ya kukuchagua, hata jpm alimkosoa sana JK na CCM kuelekea uchaguzi 2015.poa poa yamekwisha.
Mimi ni chadema kufa kupona ndiyo mana inaniuma ikipasuka.
Lisu nilikuwa nampenda sana, my gfavirite politician. "nimemchoka" kutokana na njia anazotumia kupata uenyekiti.
Actually katika hali ya kawaida nami ningelimpa Lisu kura. sasa anatafuta madaraka at the detriment of chama chake, kuwatukana wenzake, kuwasingizia vitu havina evidence.... etc etc! Kumbe hafai!
Mbowe: Chadema tunaamini uchaguzi mkuu wa October utakuwa huru na HAKIMsikilize huyu, halafu useme kama wenye akili wanaweza kumwamini kesho na keshokutwa
Ngoja sasa alishwe shubiri.Mbowe aliahidi hatogembea tena ila ghafla kabadili mawazo
Kwa mtu mwenye heshima kama nilivyokuwa namfikiria Lisu, haiingii akilini!Siasa ni timing, pia yaleo sio ya Jana.
Inawezekana haukua mpango kabla ila kwa mfululizo wa mambo yaliyokua yanatokea na uchaguzi wa serikali za mitaa akaona chama kinaenda kufa bora akiokoeKwa mtu mwenye heshima kama nilivyokuwa namfikiria Lisu, haiingii akilini!
HAKUNA KUFA , HAKUNA KUFA.... NI UROHO WA MADARAKA!Inawezekana haukua mpango kabla ila kwa mfululizo wa mambo yaliyokua yanatokea na uchaguzi wa serikali za mitaa akaona chama kinaenda kufa bora akiokoe
Wallaih the tables you people are geared on shaking!Weka na ile ya Mbowe akisema mwisho wake wa uenyekiti ni 2024. Usisahau na ile ya kuwa Lowassa ni fisadi. Hapo tutakuwa kwenye nafasi nzuri ya kupima unachotaka tukiamini.
TAL kwakua tu katoka hadharani ila inaonekana kulikua kuna unafiki ndani kwenye kambi ile nyingine hadi Mtoto wa mama ntilie akaitisha press kugombea nafasi ya umakamu mwenyekiti ile ilionyesha dhahiri ametumwa kama hautokua biased kwanini usujiulize kwanini Mtoto wa mama ntilie agombee nafasi ya makamu mwenyekiti? Hapo inaonekana kabisa mwamba alikua anawqpiga vita wanaomkosoa ndani ya chama na kuwaundia zengwe,Kitu ambacho Mwamba kabarikiwa ni anajua kufanya speech na kuigiza sura ya huruma akija kwenye media.HAKUNA KUFA , HAKUNA KUFA.... NI UROHO WA MADARAKA!
FINE NI HATUA NZURI KUKIOKOA KISIFE. MY QUESTION AND CONCERN..IS THIS: IS THIS THE RIGHT TO DO IT? UNAWABAGAZA WENZAKO NA KULETA MPASUKO KAMA ULULIOPO