Tupime uaminifu wa watu wetu tunaowapigia "debe".

Tupime uaminifu wa watu wetu tunaowapigia "debe".

Wewe kama hujui siasa kaa pembeni mkuu.
Jamaa ana akili sana,hujiulizi kwa nn mwandishi amwulize swali Hilo Uwanja wa ndege.

TL ni kichwa chenye mahesabu.
Mbowe mpaka Sasa tunaweza kusema kaishiwa sera.

Hivyo wananchi wanahitaji sera mpya,huko ccm hamwonagi kinyaa eti.
TL sio toilet paper.
 
poa poa yamekwisha.

Mimi ni chadema kufa kupona ndiyo mana inaniuma ikipasuka.

Lisu nilikuwa nampenda sana, my gfavirite politician. "nimemchoka" kutokana na njia anazotumia kupata uenyekiti.

Actually katika hali ya kawaida nami ningelimpa Lisu kura. sasa anatafuta madaraka at the detriment of chama chake, kuwatukana wenzake, kuwasingizia vitu havina evidence.... etc etc! Kumbe hafai!
Wakati cdm wanatangaza list of shame waliweka ushahidi hadharani!?
 
poa poa yamekwisha.

Mimi ni chadema kufa kupona ndiyo mana inaniuma ikipasuka.

Lisu nilikuwa nampenda sana, my gfavirite politician. "nimemchoka" kutokana na njia anazotumia kupata uenyekiti.

Actually katika hali ya kawaida nami ningelimpa Lisu kura. sasa anatafuta madaraka at the detriment of chama chake, kuwatukana wenzake, kuwasingizia vitu havina evidence.... etc etc! Kumbe hafai!
Ukiwa unafikiri kwa uwazi na ukweli utaona kwanini chama kimepoteza mvuto kutoka FAM kuzungukwa na wakina Prof Safari,Prof Baregu na sasa wanaomzunguka mwamba na kwanini iwe sasa Lissu,Heche,Lema hawafai ukikaa ukajiuliza unaweza ukatoka kwenye uchungu na kupata relief kwamba shida ni huyo unaemwamini,pia nenda youtube fatilia mahojiano ya kwanini Prof safari kaamu apumzike siasa unaweza ukapata kitu pia.
 
huyu muungwana asie aminika,
ni mnafiki na msaliti wa kiwango cha juu mno, lakini pia na mtu ni wazi leo anaweza kusema hili kesho akasema lingine, yuko radhi hata kujikana yeye mwenyewew kwasababu tu ya tamaa na uchu wa madaraka :pedroP:

Mshirika wa mama angalia mwenyewe kwenye uzi hata huu tu, kuwatambua wenzako.

Hivi kweli Mbowe na CCM mna agenda gani na hiki chama?
 
Msikilize huyu, halafu useme kama wenye akili wanaweza kumwamini kesho na keshokutwa
Mpaka mtakaposema kwann FAM alimtuma Wenje kumuondoa LISSU, wakati huohuo Kwa siku tatu za upatanisho akawa anajifanya "Mimi sijaamua lolote kuhusu uenyekiti na Urais "

Tukawastukiaaaa 🤣🤣🤣🤣
 
Mshirika wa mama angalia mwenyewe kwenye uzi hata huu tu, kuwatambua wenzako.

Hivi kweli Mbowe na CCM mna agenda gani na hiki chama?
Nimesikiliz Mahojiano ya Dr Slaa ya masaa mawili na nusu kule Youtube siku moja kabla ya kutekwa amefunbua mambo mengi yaliyotokea 2015 hadi akakimbia Kanada.

Kumbe Mwenyekiti ametupiga kitambo sana akishirikiana na hawa jamaa
 
Mpaka mtakaposema kwann FAM alimtuma Wenje kumuondoa LISSU, wakati huohuo Kwa siku tatu za upatanisho akawa anajifanya "Mimi sijaamua lolote kuhusu uenyekiti na Urais "

Tukawastukiaaaa 🤣🤣🤣🤣
Yeye ndiye aliwaita Maaskofu akajifanya eti wameitwa kusuluhisha. Yale yale aliyofanya kwa Askofu Gwajima, Lowasa na Slaa.

Kuna mahali nimecheka sana Dr Slaa akisimulia😀😀😀

Eti Mwite sasa Askofu aje, Dr Akashtuka ndani ya dakika 10 Gwajiboy huyo hapo.
 
Weka na ile ya Mbowe akisema mwisho wake wa uenyekiti ni 2024. Usisahau na ile ya kuwa Lowassa ni fisadi. Hapo tutakuwa kwenye nafasi nzuri ya kupima unachotaka tukiamini.
Mbowe aliahidi hatogembea tena ila ghafla kabadili mawazo
 
poa poa yamekwisha.

Mimi ni chadema kufa kupona ndiyo mana inaniuma ikipasuka.

Lisu nilikuwa nampenda sana, my gfavirite politician. "nimemchoka" kutokana na njia anazotumia kupata uenyekiti.

Actually katika hali ya kawaida nami ningelimpa Lisu kura. sasa anatafuta madaraka at the detriment of chama chake, kuwatukana wenzake, kuwasingizia vitu havina evidence.... etc etc! Kumbe hafai!
Hiki unachoshauri ndio kilimcost kamala harris aliogopa kumkosoa Biden wakaishia kuzama wotee. Lazima ukosoe ili uwape watu sababu ya kukuchagua, hata jpm alimkosoa sana JK na CCM kuelekea uchaguzi 2015.
 
Kwa mtu mwenye heshima kama nilivyokuwa namfikiria Lisu, haiingii akilini!
Inawezekana haukua mpango kabla ila kwa mfululizo wa mambo yaliyokua yanatokea na uchaguzi wa serikali za mitaa akaona chama kinaenda kufa bora akiokoe
 
Inawezekana haukua mpango kabla ila kwa mfululizo wa mambo yaliyokua yanatokea na uchaguzi wa serikali za mitaa akaona chama kinaenda kufa bora akiokoe
HAKUNA KUFA , HAKUNA KUFA.... NI UROHO WA MADARAKA!

FINE NI HATUA NZURI KUKIOKOA KISIFE. MY QUESTION AND CONCERN..IS THIS: IS THIS THE RIGHT TO DO IT? UNAWABAGAZA WENZAKO NA KULETA MPASUKO KAMA ULIOPO
 
Weka na ile ya Mbowe akisema mwisho wake wa uenyekiti ni 2024. Usisahau na ile ya kuwa Lowassa ni fisadi. Hapo tutakuwa kwenye nafasi nzuri ya kupima unachotaka tukiamini.
Wallaih the tables you people are geared on shaking!

Mwageni mambo, “Watchers online….
 
HAKUNA KUFA , HAKUNA KUFA.... NI UROHO WA MADARAKA!

FINE NI HATUA NZURI KUKIOKOA KISIFE. MY QUESTION AND CONCERN..IS THIS: IS THIS THE RIGHT TO DO IT? UNAWABAGAZA WENZAKO NA KULETA MPASUKO KAMA ULULIOPO
TAL kwakua tu katoka hadharani ila inaonekana kulikua kuna unafiki ndani kwenye kambi ile nyingine hadi Mtoto wa mama ntilie akaitisha press kugombea nafasi ya umakamu mwenyekiti ile ilionyesha dhahiri ametumwa kama hautokua biased kwanini usujiulize kwanini Mtoto wa mama ntilie agombee nafasi ya makamu mwenyekiti? Hapo inaonekana kabisa mwamba alikua anawqpiga vita wanaomkosoa ndani ya chama na kuwaundia zengwe,Kitu ambacho Mwamba kabarikiwa ni anajua kufanya speech na kuigiza sura ya huruma akija kwenye media.
 
Kimsingi Mbowe na Lissu wote hawafai. Mmoja ana uanaharakati ambao kimsingi kwenye siasa haufai na mwingine ame-chock, hafai hata kidogo kuongoza kwa sasa.

Angepatikana mwingine mambo yangemalizika.
 
Back
Top Bottom