MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Taratiiibu zinazidi kushuka 😀
Nahisi umeamka na kihoro mkuu sio Bure inaonyesha hata msimamo wa ligi hujui kwa hizo timu...kwani Yanga mbona mliweka sherehe Fountain gate alipotoka suluhu na Simba kwani kwenye ligi kuna Simba pekee?Ni kawaida kwa vilabu vidogo vidogo kukamia na kuweka nguvu nyingi zinapocheza na Bingwa mtetezi.
Tabora utd baada ya kuifunga Yanga wakaweka mpaka sherehe na pesa ndefu wakagawana, Ila walipocheza na walozi wengine wanaachia tu! Kwani hii Ligi anayecheza ni Yanga peke yake? JKT akicheza na Yanga anakamia balaa! Ila akutane na timu zingine sasa! Waaaaa!
Alama haziokotwi Yanga peke yake! Timu za Ligi kuu zipo 16 sio Yanga pekee
Hamna akiliNi kawaida kwa vilabu vidogo vidogo kukamia na kuweka nguvu nyingi zinapocheza na Bingwa mtetezi.
Tabora utd baada ya kuifunga Yanga wakaweka mpaka sherehe na pesa ndefu wakagawana, Ila walipocheza na walozi wengine wanaachia tu! Kwani hii Ligi anayecheza ni Yanga peke yake? JKT akicheza na Yanga anakamia balaa! Ila akutane na timu zingine sasa! Waaaaa!
Alama haziokotwi Yanga peke yake! Timu za Ligi kuu zipo 16 sio Yanga pekee.
Mashabiki wa Simba ni mambumbumbu, in Rage's voice!Wenye akili yanga ni wawili~ Manara
Ni kawaida kwa vilabu vidogo vidogo kukamia na kuweka nguvu nyingi zinapocheza na Bingwa mtetezi.
Tabora utd baada ya kuifunga Yanga wakaweka mpaka sherehe na pesa ndefu wakagawana, Ila walipocheza na walozi wengine wanaachia tu! Kwani hii Ligi anayecheza ni Yanga peke yake? JKT akicheza na Yanga anakamia balaa! Ila akutane na timu zingine sasa! Waaaaa!
Alama haziokotwi Yanga peke yake! Timu za Ligi kuu zipo 16 sio Yanga peke
huyumwanachuo kweri kweri
Taratibu wanasogea chiniJKT kushuka sidhani