MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Ni kawaida kwa vilabu vidogo vidogo kukamia na kuweka nguvu nyingi zinapocheza na Bingwa mtetezi.
Tabora utd baada ya kuifunga Yanga wakaweka mpaka sherehe na pesa ndefu wakagawana, Ila walipocheza na walozi wengine wanaachia tu! Kwani hii Ligi anayecheza ni Yanga peke yake? JKT akicheza na Yanga anakamia balaa! Ila akutane na timu zingine sasa! Waaaaa!
Alama haziokotwi Yanga peke yake! Timu za Ligi kuu zipo 16 sio Yanga pekee.