Tupo na mama mpaka 2035, Kwa mara ya kwanza anaenda kugombea urais 2025, mara ya pili 2030, awamu ya sasa haihesabiki

Kesha usiku mzima andika hata kurasa 300 Mama atapewa MITANO TENA 2030
 
Hao Ndio vijana wa CCM mkuu! Kuwaelewa Inabidi uwe na mapafu ya mamba! Na Ndio mtaji wa Ccm kuendelea kutawala!
Wanasema chamani Kuna demokrasia ona Mwenyewe amejutangaza kuwa Mwenyekiti amewapa Jina la Makamu wake bara na ametangaza Jina la Mgombea Mwenza mwenyewe! Na Bado wamekenua
 
Unataka nchi atawale nani Sasa kama sio ccm
 
Katiba haifuatwi na hakuna utalofanya 🀣🀣🀣🀣🀣
Kwako hii ni sifa nzuri kabisa na unaweza kushangilia watu kutofauata na kuheshimu utaratibu uliowekwa! Siku utawala mwingine ukishika Dola na usifuate katiba kwako ni sawa tu!
Au mtakua wa kwanza Kuomba sanctions!
Yamkini mmetumwa sasa mtandaoni kufanya spinning Kwa I'd fake
 
Hamna utawala utaoshika hii nchi ni ya ccm mzee acha kuandika pumba eti utawala mwingine wakati nchi ya ccm🀣🀣🀣🀣
 
Ni katiba ya wapi hii??πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Madhara ya kichwa kushambuliwa na fangasi sugu
 
Kama haihesabiki mbona inaitwa awamu ya sita?? Au atakuwa na awamu ngapi mbili kwamba ya sita na saba ni mama
 
Tumia muda kuifahamu katiba ya nchi yako.
Madaraja yanavukwa yakifikiwa, sio kabla. Unapata tabu na daraja la 2030 ilihali ndo tumelifikia la 2025.
 
Huu ujinga wako uliouandika hapa, utakuja kuujutia sana pale Izrael Mtoa roho pale atakapofanya lile jambo lake kwa wakati.
 
Kama awmu hii haisabiki basi akubali kuingia kweye uchaguzi wa ndani ya chama agombee hiyo nafasi na wenzake
 
Kwenye hilo fuvu kuna akili, au kamasi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…