The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
hyo
Hyo ni headset za maskioni znazotumiwa na usalama sema tu aliyevaa si mwana usalama au mzoefu wa kaxi hizo ndo maana unaona imezid hvyo
Hahahahaha..nadhani kajibu kwa uelewq wakeUmejuaje kwamba siyo? Dude linalo itwa intelligence ni dubwana kubwa sanaβ¦.hata fild officers wengi wana mipaka ya kulielewa tena akiwa kilaza ataishia kuwa afisa usalama asiye na maajabu β¦.usiwe mwepesi wa kutoa majibu ya kudhania intelligence haidhaniwi mzeeβ¦inahitaji taarifa chakativu
Hahahahaha..nadhani kajibu kwa uelewq wake
π€£π€£ππ Kabisa wawe na shukurani kwa serikali ya mama kuwaletea bahari karibu.Mnataka kuoga kila siku kwani nyie Mamba? Kutoka Mwananyamala hadi baharini ni dakika ngapi?
Kuweni na shukrani!
Wangekuwa kibaha je?Mnataka kuoga kila siku kwani nyie Mamba? Kutoka Mwananyamala hadi baharini ni dakika ngapi?
Kuweni na shukrani!
Wangekuwa kibaha je?
Mnataka kuoga kila siku kwani nyie Mamba? Kutoka Mwananyamala hadi baharini ni dakika ngapi?
Watanzania kwa ushamba na kujifanya wajuaji.Hata hearing aid inazua mjadala!Hiyo ni hearing aid,inamsaidia kusikia,ina onekana jamaa ana matatizo ya kutokusikia vizuri,
Hua inakua na microphone pia ambayo ndio hureceive sound na kuiconverts into digital signal,emplifier huongeza uimara wa digital signal.
Pamoja na baridi kali hapa ila tunavumilia tu sababu ni kesho tu tunarudi zetu Dodoma kwenye hali yetu tuliyozoea.
Amasema alitaka kumuuliza ila kwa sababu za protocol akashindwa, ni kitu gani hicho?.
View attachment 2904093
Sijakuelewa kwani hivi watu wa Mwananyamala Huwa wanaoga? Ndio nasikia kwako
Bi Vasco Da Gama.Hapa kuna mtu alipigwa jicho na madam president unaweza kuzoom kupata mrejesho π!.
View attachment 2904097
majeshi ya wenzetu wanaraha sana imegini mtu anamatatizo ya miguu kutembelee magongo,hii kwa Tanzania sijawahi kuonaHapa kuna mtu alipigwa jicho na madam president unaweza kuzoom kupata mrejesho π!.
View attachment 2904097
Kama mnakula kuoga sio lazimaMwananyamala hakuna Maji wiki ya pili sasa, watu wananuka vikwapa
HaichekeshiHicho kinamsaidia kupumua kama cha yule jamaa yenu aliefia madarakani
Sasa hayo malalamiko si umpelekee mbunge wako yeye ndie anajua anakopatikana waziri wa wizara ya maji, inahusiana vipi na ziara ya raisi wetu mpendwa?Siyo kazi ya mbunge kuleta huduma za jamii. Ni kazi ya serikali ambayo inakusanya Kodi zetu na kusimamia uuzaji wa rasilimali kama madini etc. Mbunge ni kiranja wa kutusemea tu... Mpaka wananchi wajue wajibu wa mihimili yote tutakuwa tunawalaumu wasiohusika
Mgerasi Maghayo ndio aliyekatwa jicho hapo,kumbukeni huyu Mwamba ana nongwa sana since Jesus Christ anafanya ziara kule Kana ya Galilaya,Hapa kuna mtu alipigwa jicho na madam president unaweza kuzoom kupata mrejesho π!.
View attachment 2904097