maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,749
- 2,319
Kwani waziri wa maji haona sehemu haina maji akapeleka? Au maana ya watendaji wa serikali kuwa hadi ngazi za chini ni nini? Kila siku akipokea ripoti ya siku inakuwa imeandikwa nini?Sasa hayo malalamiko si umpelekee mbunge wako yeye ndie anajua anakopatikana waziri wa wizara ya maji, inahusiana vipi na ziara ya raisi wetu mpendwa?