Tupo Oslo, Norway Hiki alichovaa huyu jamaa anayempa mkono Madam President ni kitu gani?

Tupo Oslo, Norway Hiki alichovaa huyu jamaa anayempa mkono Madam President ni kitu gani?

Absolutely correct, wanawashangaa
Nyumbani kuna msiba mzito wao wanazurura
Nyumbani kuna resources zote lakini wao ombaomba
Nyumbani kuna shida ya maji, umeme na sukari na gharama za maisha ziko juu wao wanazurura
Haya matatizo kwanini wanyonge hawampekeagi Makonda?!😡😡. Si wanasema yeye ni daktari wa matatizo ya wanyonge hapa nchini?😅😅
 
Pamoja na baridi kali hapa ila tunavumilia tu sababu ni kesho tu tunarudi zetu Dodoma kwenye hali yetu tuliyozoea.

Amasema alitaka kumuuliza ila kwa sababu za protocol akashindwa, ni kitu gani hicho?.

View attachment 2904093
1.jpg
3.jpg
3.jpg
2.jpg
 
Hicho kifaa kinasaidia katika usikivu inaonekana jamaa ana tatizo la usikivu kidogo hata yule mkuu wa mkoa wa Morogoro Adam Malima uwa unavaa.
 
Natamani sana zile safari za kwenda kutembelea mwezi kwa ajili ya watu binafsi zikianza huyu mama kizimkazi aende akazurure kwenye mwezi si ndio kazi tulizomtuma kwasababu nchi zote keshamaliza
😆😆😆😆 Ha ha ha ha kwahiyo amebakiza mwezini tu
 
Back
Top Bottom