maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,749
- 2,319
Kwani waziri wa maji haona sehemu haina maji akapeleka? Au maana ya watendaji wa serikali kuwa hadi ngazi za chini ni nini? Kila siku akipokea ripoti ya siku inakuwa imeandikwa nini?Sasa hayo malalamiko si umpelekee mbunge wako yeye ndie anajua anakopatikana waziri wa wizara ya maji, inahusiana vipi na ziara ya raisi wetu mpendwa?
Tabata kinyerezi ina msiba.Madam president hatuna maji wiki dsm 2 sasa. Awesome amekusaliti
Natamani Sana nikaish hukoKumbe Norway Ni barid Kali na snow inshuka
Alfu Africa hkn Hali Kama hyo
Mungu alijuwa kutupangia pa kuishi mnk kwa barid hi Kamwe tusingetoboa
Hapa kuna mtu alipigwa jicho na madam president unaweza kuzoom kupata mrejesho [emoji2]!.
View attachment 2904097
Kwa hiyo mbunge ndo ana kazi ya kuleta maji siyo?Mbunge wenu humjui?
Ushamba mzigo, unafikiri maji ya bahari huwa wanachota na kutumia majumbani siyo?Wananukaje wkt bahari iko hapo π
Mume wa rais ana wake 4 hawezi kuacha watatu akafuatana na mmoja. Zamu yake akirudi.Amependeza sana MaashaAllah. Hiyo Royal blue imenoga sana.
Mume wa Rais yupo wapi hapo?
πHicho kinamsaidia kupumua kama cha yule jamaa yenu aliefia madarakani
Sehemu kubwa ya nchi hakuna maji na mvua zinanyesha Mamlaka zipo kimya wakubwa wanauza maji kwenye magari yaoMwananyamala hakuna Maji wiki ya pili sasa, watu wananuka vikwapa
Absolutely correct, wanawashangaaAmevaa cha kuwapima IQ zenu
Natamani sana zile safari za kwenda kutembelea mwezi kwa ajili ya watu binafsi zikianza huyu mama kizimkazi aende akazurure kwenye mwezi si ndio kazi tulizomtuma kwasababu nchi zote keshamalizaPamoja na baridi kali hapa ila tunavumilia tu sababu ni kesho tu tunarudi zetu Dodoma kwenye hali yetu tuliyozoea.
Amasema alitaka kumuuliza ila kwa sababu za protocol akashindwa, ni kitu gani hicho?.
View attachment 2904093
Ndio mke wangu.Ushamba mzigo, unafikiri maji ya bahari huwa wanachota na kutumia majumbani siyo?
Mbunge hasemei matatizo ya wananchi wenzake bungeni, Anabaki kusifia upumbavu na kutoa maoni yasiyo na manufaa kwa wananchi kwanini asilaumiwe?Siyo kazi ya mbunge kuleta huduma za jamii. Ni kazi ya serikali ambayo inakusanya Kodi zetu na kusimamia uuzaji wa rasilimali kama madini etc. Mbunge ni kiranja wa kutusemea tu... Mpaka wananchi wajue wajibu wa mihimili yote tutakuwa tunawalaumu wasiohusika
Itakua rosti tami alileta ungaji ππ akapigwa jicho la mama wa ki AfricaHapa kuna mtu alipigwa jicho na madam president unaweza kuzoom kupata mrejesho π!.
View attachment 2904097
Kiukweli tunamshukuru Mh. rahisi kwa kwani tangu aingie madarakani bahari inakupwa na kujaa vizuri πππππMnataka kuoga kila siku kwani nyie Mamba? Kutoka Mwananyamala hadi baharini ni dakika ngapi?
Kuweni na shukrani!