Tupo Oslo, Norway Hiki alichovaa huyu jamaa anayempa mkono Madam President ni kitu gani?

Kiukweli tunamshukuru Mh. rahisi kwa kwani tangu aingie madarakani bahari inakupwa na kujaa vizuri πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Si haya ndio mambo tunataka kusikia, si unaona tangu awamu ya sita ianze hata uzamaji wa jua unavutia zaidi uwekezaji? Hata ndugu yangu Lucas mwashambwa hajaliona hilo.
 
Absolutely correct, wanawashangaa
Nyumbani kuna msiba mzito wao wanazurura
Nyumbani kuna resources zote lakini wao ombaomba
Nyumbani kuna shida ya maji, umeme na sukari na gharama za maisha ziko juu wao wanazurura
Haya matatizo kwanini wanyonge hawampekeagi Makonda?!😑😑. Si wanasema yeye ni daktari wa matatizo ya wanyonge hapa nchini?πŸ˜…πŸ˜…
 
Hicho kifaa kinasaidia katika usikivu inaonekana jamaa ana tatizo la usikivu kidogo hata yule mkuu wa mkoa wa Morogoro Adam Malima uwa unavaa.
 
Natamani sana zile safari za kwenda kutembelea mwezi kwa ajili ya watu binafsi zikianza huyu mama kizimkazi aende akazurure kwenye mwezi si ndio kazi tulizomtuma kwasababu nchi zote keshamaliza
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Ha ha ha ha kwahiyo amebakiza mwezini tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…