Tupo siku za mwisho YESU yupo karibu kurudi

Tupo siku za mwisho YESU yupo karibu kurudi

Makala01

Member
Joined
Sep 12, 2024
Posts
22
Reaction score
29
Wapendwa wangu katika Bwana niwakumbushe tu kwamba tupo katika nyakati za mwisho mnoo..
YESU yupo karibu kurudi mda wowote kuanzia sasa kwa iyo wew unaesoma ujumbe huu tengeneza njia zako na maisha yako
Acha ulevi
Acha uzinzi
Acha umalaya na ukahaba
Acha matusi
Acha kila aina ya dhambi na uchafu wote
Mrudie Mungu.
Ishi maisha ya matakatifu ya kumpendeza MUNGU mpendwa
Usijiachie sana na kujisahau na Mambo ya dunia hii hayo yote yatapita.
Mambo ya ulimwengu huu yasikufanye umsahau MUNGU
YESU yupo mlangoni
Ivo sasa tengeneza maisha yako mpendwa kama hujaokoka mrudie MUNGU leo ili atakaporudi akukute upo Standby kwa ajili ya kuondoka nae.
Na Kama umeokoka ishi maisha matakatifu kila siku
Jitakase na kujitenga na dhambi kila siku
Maana
bila utakatifu huwezi kumuona BWANA...

Kama hujaokoka au ulirudi nyuma na unataka kumpa Yesu maisha leo au unahitaji maombi nipigie au ni-sms au ni-whatsapp kwa No 0676400125
Mungu akubariki..
 
Alikutumia barua pepe kuwa yupo njiani kuja kumchukua huyu
IMG_0612.jpeg
 
Ujinga mtupu walokole nyie ni wagonjwa wa akili angalau mjikomboe kiakili kwa uwepo wa mitandao kama hii ila mnazidi kuonyesha ni jinsi gani mlivyo wajinga.
 
Back
Top Bottom