Tupo tayari kuunda "NATO" ya kiarabu: JORDAN

Tupo tayari kuunda "NATO" ya kiarabu: JORDAN

Sol de Mayo

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2016
Posts
6,515
Reaction score
6,230
Screenshot_20220625-143405_Instagram.jpg
Screenshot_20220625-142812_Instagram.jpg
Screenshot_20220625-142828_Instagram.jpg

Itapendeza sana ikiwa hivi
1 Oman
2 Emirates
3 Saudia Arabia
4 Qatar
5 Bahrain
6 Kuwait
7 Egypt
8 Jordan
9 Algeria
10 Morocco
11 Tunisia
12 Palestina
13 Lebanon

Tunawaombea heri kubwa hawa ndugu zetu ,Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi jambo lao litimie.

Ambae itamchoma na kumuumiza hii mada, tafadhali asome na kusepa. Matusi n.k hapana!

Waabeja sana!
 
View attachment 2271611View attachment 2271612View attachment 2271613

Mwenye user name ya Uhuru Kenyatta hapa Jamii forum afanye kumtag
 
waarabu hawana umoja kama wazungu... hata kama watakuwa na nato yao bado kuna vitu vitafanyika ili kuwagombanisha... wazungu wataweka vibaraka wao na mambo hayataenda vizuri
Kweli kabisa ,vibaraka wanajipenyeza kirahisi sana ndio maana umoja hakuna na mipango inavurugika kirahisi.
 
.... kwanini wasisimame kivyao vyao kama Russia role model wao?
 
NATO YA kwanza ya kiarabu ilifyekwa kwa siku Sita. hii naona hata kuuundwa tu itafyekwa kabla hata haijamilizika kuundwa.
watapigwa na kitu kimoja kina
Jinni Mufilis, halafu wanamaliziwa na jinni mauzauza na jinn mtafarouk kwisha kazi.
 
View attachment 2271611View attachment 2271612View attachment 2271613

Itapendeza sana ikiwa hivi
1 Oman
2 Emirates
3 Saudia Arabia
4 Qatar
5 Bahrain
6 Kuwait
7 Egypt
8 Jordan
9 Algeria
10 Morocco
11 Tunisia
12 Palestina
13 Lebanon

Tunawaombea heri kubwa hawa ndugu zetu ,Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi jambo lao litimie.

Ambae itamchoma na kumuumiza hii mada, tafadhali asome na kusepa. Matusi n.k hapana!

Waabeja sana!
Waungane na umoja wa ulaya mashariki unaoihusisha Russia , hapo itakuwa na uhai kamili kwani itakuwa na mbabe wa upande wa pili. Hili likifanyika mzee mwenzangu wa kusalimia vuvuli sijui atasalimianini Sasa.
 
Back
Top Bottom