Tupo tayari kuunda "NATO" ya kiarabu: JORDAN

Tupo tayari kuunda "NATO" ya kiarabu: JORDAN

Hiyo itakuwa ni "The Talk Shop" hamna kitu hapo. Watu wanashadadia miungano ya wengine badala yao. Very foolish Africans.
 
View attachment 2271611View attachment 2271612View attachment 2271613

Itapendeza sana ikiwa hivi
1 Oman
2 Emirates
3 Saudia Arabia
4 Qatar
5 Bahrain
6 Kuwait
7 Egypt
8 Jordan
9 Algeria
10 Morocco
11 Tunisia
12 Palestina
13 Lebanon

Tunawaombea heri kubwa hawa ndugu zetu ,Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi jambo lao litimie.

Ambae itamchoma na kumuumiza hii mada, tafadhali asome na kusepa. Matusi n.k hapana!

Waabeja sana!
Morocco na Algeria hawapikiki chungu kimoja.
 
14. Iran
15. Iraq

Iran sio waarabu mkuu Geofk, iraq sawa lakini kwa sasa kuna baadhi ya nchi washakua vibaraka wa marekani. Hata wakiunda NATO yao kuna mipumbafu inatumiwa na mabeberu kuharibu mipango. Ngoja tuone itakuaje.

Nchi za kiarabu ni tajiri sana, uwezo wa kijeshi wanao, umiliki wa silaha nyingi wanazo,, hii mipango ya NATO wamechelewa sana, ingependeza sana enzi za saddam, gadaffi, Gamal abdel nasser/Anwar sadat n.k.
 
View attachment 2271611View attachment 2271612View attachment 2271613

Itapendeza sana ikiwa hivi
1 Oman
2 Emirates
3 Saudia Arabia
4 Qatar
5 Bahrain
6 Kuwait
7 Egypt
8 Jordan
9 Algeria
10 Morocco
11 Tunisia
12 Palestina
13 Lebanon

Tunawaombea heri kubwa hawa ndugu zetu ,Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi jambo lao litimie.

Ambae itamchoma na kumuumiza hii mada, tafadhali asome na kusepa. Matusi n.k hapana!

Waabeja sana!

Wanayo tayari. Inaitwa Middle East and North Africa (MINA). Sema labda kuna mambo ambayo wanaona wayaongeze.
 
Kuepusha mambo kama haya ndio maana Uingereza na Marekani wakaunda taifa la Israel ndani ya mashariki ya kati. Kazi ya Muisrael ni kuvurugwa utaratibu kama huu na ndivyo anavyoandaliwa Rwanda kuleta ujinga kama huu Afrika ili Marekani atupige vizuri
 
Hao israel siku zao zitafika,,na wanaowatetea sijui wataonyesha wapi sura zao.
 
Back
Top Bottom