Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waungane na umoja wa ulaya mashariki unaoihusisha Russia , hapo itakuwa na uhai kamili kwani itakuwa na mbabe wa upande wa pili. Hili likifanyika mzee mwenzangu wa kusalimia vuvuli sijui atasalimianini Sasa.
Israel anawachora tu hapo
Hiyo ni ndoto ya mchana. hilo ni Jambo lisiloweza kufanikiwaView attachment 2271611View attachment 2271612View attachment 2271613
Itapendeza sana ikiwa hivi
1 Oman
2 Emirates
3 Saudia Arabia
4 Qatar
5 Bahrain
6 Kuwait
7 Egypt
8 Jordan
9 Algeria
10 Morocco
11 Tunisia
12 Palestina
13 Lebanon
Tunawaombea heri kubwa hawa ndugu zetu ,Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi jambo lao litimie.
Ambae itamchoma na kumuumiza hii mada, tafadhali asome na kusepa. Matusi n.k hapana!
Waabeja sana!
waarabu na sisi watu weusi tunashida sanawaarabu hawana umoja kama wazungu... hata kama watakuwa na nato yao bado kuna vitu vitafanyika ili kuwagombanisha... wazungu wataweka vibaraka wao na mambo hayataenda vizuri
Iran atawatwanga wote haoView attachment 2271611View attachment 2271612View attachment 2271613
Itapendeza sana ikiwa hivi
1 Oman
2 Emirates
3 Saudia Arabia
4 Qatar
5 Bahrain
6 Kuwait
7 Egypt
8 Jordan
9 Algeria
10 Morocco
11 Tunisia
12 Palestina
13 Lebanon
Tunawaombea heri kubwa hawa ndugu zetu ,Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi jambo lao litimie.
Ambae itamchoma na kumuumiza hii mada, tafadhali asome na kusepa. Matusi n.k hapana!
Waabeja sana!
Kama mwamuzi wa dunia? Nani mwingine anaweza kumzuia ukiacha Russia?
Iran atawatwanga wote hao
Wakiungana nao na kuwa imara kijeshi dunia haitakuwa mahali salama pa kuishi...tunawajua kwa itikadi zao za chinjachinja kwa wasio amini katika itikadi zao.
Huo umoja ufe na usitoke hapa duniani.
Long live USA and Europe.
#MaendeleoHayanaChama
Sijajua mkuu, iran sio!Kwahio kutoa mawazo nchi moja ndio unafkri itakua kweli[emoji23][emoji23][emoji1787], haya eheee tuambie hio nato ya kiarabu ndio anaungiwa nani ?
Waarabu wameweza nini mpaka sasa? Kwanini hawapendani?Basi sawa,, Nimekusoma, Wewe ni shabiki wa Russia, lakini linapokuja la waarabu unageuka kuwa upande wa marekani.
Kama ni Iran wasijaribu kucheza na moto hawa [emoji23][emoji16]Sijajua mkuu, iran sio!
Kosa wakiwashirikisha (Saudia na Emirates) , huyo saudia ni kibaraka wa marekani. Nadhani unajua hilo.
Kama ni Iran wasijaribu kucheza na moto hawa [emoji23][emoji16]
Waarabu wameweza nini mpaka sasa? Kwanini hawapendani?
Hilo ndilo tatizo lao kubwa, wangekuwa na umoja hata Amerika isingekuwa kimbilio lao,wangekuwa kama Urusi ilivyo. Saudia haielewani na Qatar,sijui Lebanon haipatan na Syiria,yan wapo wapo tuHawana umoja, hilo ndio tatizo. Wazungu kinachowasaidia ni umoja na ushirikiano,,, mwenzao akipatikana na tatizo wako tayali kumsaidia kwa hali yoyote, iwe vita ama kuyumba kwa uchumi.,,, refer vita kati ya urusi na ukraine,, ukraine wanasaidiwa silaha+mamluki kupigana na majeshi ya mwamba puttin.
Lakinii vita ya Iraq hakuna nchi yoyote ya kiarabu iliyo ingilia kati kumsaidia saddam. Ukija kwa libya hivyo hivyo, hakuna nchi ya kiarabu ama afrika iliyopeleka jeshi kumsaidia gaddaffi, mpaka umauti umemfika. Ukija kwa syria hivyo hivyo.