Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Yeye kama nani kwenye hii dunia!!Amerika haitakubali kamwe. Bora undugu ufe kuliko mpango mzuri kama huo kufanikiwa.
Comment ya nne tu tyr imeshachafua Uzi[emoji28][emoji28]Halafu kaisrael kanakuja kuwasambaratisha wote
Halafu kaisrael kanakuja kuwasambaratisha wote
waarabu hawana umoja kama wazungu... hata kama watakuwa na nato yao bado kuna vitu vitafanyika ili kuwagombanisha... wazungu wataweka vibaraka wao na mambo hayataenda vizuri
Mwenye user name ya Uhuru Kenyatta hapa Jamii forum afanye kumtagView attachment 2271611View attachment 2271612View attachment 2271613
Itapendeza sana ikiwa hivi
1 Oman
2 Emirates
3 Saudia Arabia
4 Qatar
5 Bahrain
6 Kuwait
7 Egypt
8 Jordan
9 Algeria
10 Morocco
11 Tunisia
12 Palestina
13 Lebanon
Tunawaombea heri kubwa hawa ndugu zetu ,Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi jambo lao litimie.
Ambae itamchoma na kumuumiza hii mada, tafadhali asome na kusepa. Matusi n.k hapana!
Waabeja sana!
Israel 99%Kwa msaada wa bwana ake+europe sio!!
Kweli kabisa ,vibaraka wanajipenyeza kirahisi sana ndio maana umoja hakuna na mipango inavurugika kirahisi.waarabu hawana umoja kama wazungu... hata kama watakuwa na nato yao bado kuna vitu vitafanyika ili kuwagombanisha... wazungu wataweka vibaraka wao na mambo hayataenda vizuri
Kama mwamuzi wa dunia? Nani mwingine anaweza kumzuia ukiacha Russia?Yeye kama nani kwenye hii dunia!!
Israel anawachora tu hapoView attachment 2271611View attachment 2271612View attachment 2271613
Itapendeza sana ikiwa hivi
1 Oman
2 Emirates
3 Saudia Arabia
4 Qatar
5 Bahrain
6 Kuwait
7 Egypt
8 Jordan
9 Algeria
10 Morocco
11 Tunisia
12 Palestina
13 Lebanon
Tunawaombea heri kubwa hawa ndugu zetu ,Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi jambo lao litimie.
Ambae itamchoma na kumuumiza hii mada, tafadhali asome na kusepa. Matusi n.k hapana!
Waabeja sana!
Waungane na umoja wa ulaya mashariki unaoihusisha Russia , hapo itakuwa na uhai kamili kwani itakuwa na mbabe wa upande wa pili. Hili likifanyika mzee mwenzangu wa kusalimia vuvuli sijui atasalimianini Sasa.View attachment 2271611View attachment 2271612View attachment 2271613
Itapendeza sana ikiwa hivi
1 Oman
2 Emirates
3 Saudia Arabia
4 Qatar
5 Bahrain
6 Kuwait
7 Egypt
8 Jordan
9 Algeria
10 Morocco
11 Tunisia
12 Palestina
13 Lebanon
Tunawaombea heri kubwa hawa ndugu zetu ,Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi jambo lao litimie.
Ambae itamchoma na kumuumiza hii mada, tafadhali asome na kusepa. Matusi n.k hapana!
Waabeja sana!