#COVID19 Tupo Watanzania tunaohitaji chanjo ya COVID-19

#COVID19 Tupo Watanzania tunaohitaji chanjo ya COVID-19

Mkuu we kusanya familia yako yote na ukoo wako wote ukachanjwe mbona hakuna shida.

Kwann iwe chanjo tu kwa waafrika pekee?
Screenshot_20210127-170940.jpg
 
Nadhani uelewa wenu ni kipumbavu, chanjo anayopewa mazungu sio unayopewa wewe, na uwezi wao wa kukidhi hizo chanjo ni mkubwa Sana sasa iweje waanze na na group?
Hiyo ni zuga tu mnatakiwa kufa Ila hamjijui
Wenye mawazo ya kipumbavu no wenye mtazamo kama wako,pia yaweza kuwa sii kosa la wenyemtazamo kama wako ila yawezakuwa ni tatizo la afya ya akili.
 
Chanjo hiyo tutaipata hata Burundi hatuwezi kujitenga na Dunia hapana.
 
Hao u

Hao unaofikili chanjo yao ni nzuri mbona bado wanaogopa corona?
Kwa nini wasijipige hizo chanjo kisha wajichanganye na wengine kwa kuwa wao hawatazurika?
Wao Wana chanjo kisha wanaogopa corona sasa huo sio ni uninga?

Bado kuna wapunbavu Kama ninyi bado mnawaanini kwenye hiyo chanjo.
Tumieni akiri zenu.

Kwani Tundu Lisu ameshachanjwa?
certified idiot, umezaliwa na mandui na machanjo kibao mpaka umekua na ndevu lakini unajifanya kuikebehi..

Ruhusuni hiyo chanjo pelekeni maabara mkai 'grade, si mna wataaluma nyie? au ndo wale mnawapeleka kwenye siasa majitaka?
 
certified idiot, umezaliwa na mandui na machanjo kibao mpaka umekua na ndevu lakini unajifanya kuikebehi..

Ruhusuni hiyo chanjo pelekeni maabara mkai 'grade, si mna wataaluma nyie? au ndo wale mnawapeleka kwenye siasa majitaka?
Nadhani mnachangia huku Bila kutumia akiri na dio maana mnarudia kitu ambacho kimeshauliwa tayari, raisi kasema hizo chanjo zikaguliwe kwanza, pili Kama zina uhakika kwa nini hao wenye nazo bado wanaogopa corona wakati chanjo wanayo?
 
Ok Sasa tatizo hapo ni Africa au Uafrica yaani ngozi nyeusi. Sababu hata huko kwao ngozi nyeusi wako wengi tu . Hebu tusaidiane mawazo. Tukikumbishana kwanza hii sio chanjo ya kwanza kutolewa toka 1960s huko Tanzania chanjo tumechanjwa za kuzuia ndui n.k
Kabla cjakujibu nijibu na ww kwann zisisambazwe US,CANADA NA EU?
 
Mzungu akiamua kutuua ananjia nyingi haitaji kutumia chanjo ya corona. Tuambizane ukweli tu kwamba hatuna hela ya kununua chanjo basi tujue moja kila mtu apambane na hali yake.
 
Kama chanjo mnataka iwe hiari yenu mnaotaka mchanjwe, hata kujifungia ndani ni hiari yenu mkaanze sasa kujifungia ndani. Kwa nini mnazurura? Nyie si mnaogopa Covid??[emoji2369][emoji2369]

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu we kusanya familia yako yote na ukoo wako wote ukachanjwe mbona hakuna shida.

Kwann iwe chanjo tu kwa waafrika pekee?
View attachment 1687468
Remdesivir sio chanjo (vaccine ) bali ni dawa halisi (real medicine)inayotumika kwa matibabu ya wagonjwa wa COVID19 kwa watu wazima na watoto, ambao wamelazwa hospitalini wakiwa na dalili kali za ugonjwa huo. Dawa hiyo inapatikana katika vichupa vya 100 mg (Injectable) na hutolewa chini ya usimamizi wa daktari aliyesajiliwa katika nchi ambazo dawa hiyo imesajiliwa.
 
Tanzania hatujaanza kutumia chanjo leo kutoka kwa wazungu. Hivi sasa mpaka mtoto anakuwa, anachomwa chanjo mbali mbali sio chini ya mara 5. Taanzania haijawai hata kutengeneza chanjo yoyote toka ipate uhuru.....

Mimi ni Mtanzania ambaye nipo USA kwenye usimamizi wa kusaidia hospitali kwenye madawa. Chanjo zote ukiacha za China na Russia zimefanyiwa majaribio na madaktari kutoka nchi mbalimbali. Wengi wa wana sayansi ambao wamefanya research sio hata wazungu wengi ni wahindi, waafrika na wazungu.

Mfano chanjo ya kampuni ya Marekani ya Pfizer’s imetengezwa na kampuni ya BioNTech ya German na ukiangalia mmiliki wake ni mtu kutoka Uturuki ambaye ni muhamiaji. Sijui kama kuna huu muda wa kupanga eti chanjo ya waafrika na wazungu!!.

Chanjo ya nyingine imetengenezwa na kampuni ya uingereza ya Astrazeneca lakini wataalamu ni wana vyuo wa Oxford university na dawa zinatengenezewa India ! Kampuni ya India ndiyo hiyo hiyo inayoleta dawa Tanzania karibu zote za vidonge generic za capsule, tablets na injectables kama drip za hospitali!.

Sasa watu wanaosema eti kuna dawa za majaribio tofauti wana ushaidi gani? yaani wanasayansi wanaongea kama watu wa vijiwe. Kwani sisi tu dunia nzima ndiyo tuna Gold na Gas asilia? mzee wetu ana pacemaker ya kumsaidia moyo wake amekuwa nayo toka akiwa na miaka 35 kutoka German sasa kwanini wasimmalize na hilo kama kweli wana nia mbaya hao mabeberu! Tusicheze na masiaha ya watu jamani watu wanakufa kweli.
 
Tanzania hatujaanza kutumia chanjo leo kutoka kwa wazungu. Hivi sasa mpaka mtoto anakuwa, anachomwa chanjo mbali mbali sio chini ya mara 5. Taanzania haijawai hata kutengeneza chanjo yoyote toka ipate uhuru.

Weka vizuri sentesi yako, watakuambia kuna chanjo ya bata pale SUA
 
Tanzania hatujaanza kutumia chanjo leo kutoka kwa wazungu. Hivi sasa mpaka mtoto anakuwa, anachomwa chanjo mbali mbali sio chini ya mara 5. Taanzania haijawai hata kutengeneza chanjo yoyote toka ipate uhuru...

Huyu ni wa kumweleza waziwazi.

Kwa ujumla amevuka mipaka. Si wa kupendekeza wala mapambio yake tena.

Huyu yanayoendelea kumhusu Trump yalikuwa saizi yake. Bila ya kumung'unya maneno huyu alistahili impeachment. Kajisahau huyu kuwa yeye ni mtumishi wetu. Kusahau kuwa Power belongs to us.

Matamshi ya kukejeli chanjo hii hayakubaliki. Vipi kuhusu chanjo zingine? Vipi kuhusu usalama wa chochote toka kwa mabeberu ambacho mwenyewe anatumia yakiwamo madawa, madege, magari n.k.

Huyu bwana ni hatari kwa ustawi wetu kama taifa. Huyu ni wa kumfahamisha nchi hii si yake peke yake wala si yake na genge lake. Hii ni offside ya wazi.

Bandugu tunacheka na nyani tutegemee kuvuna mabua.

"Kwa heshima na taadhima mheshimiwa Rais kama nawe huwa unapita huku JF tafadhali ujue, tupo wengi ambao kwa kweli likiwamo hili la chanjo ya corona na ushughulikiaji wako kwa ugonjwa huu unatukwaza sana."

Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.

Huu ndiyo ulio ukweli mchungu!
 
Mimi ni Mtanzania ambaye nipo USA kwenye usimamizi wa kusaidia hospitali kwenye madawa. Chanjo zote ukiacha za China na Russia zimefanyiwa majaribio na madaktari kutoka nchi mbalimbali...

Hata nyumbani familia ikidai inahitaji nyama, mzee akiwa hana pesa ya kununua nyama anasema nyama ina magonjwa mengi na gharama ya kuyatibu hayo magonjwa ni kubwa bora tule mchicha na matembele, lakini huo mchicha na matembele vinapulizwa pesticides mbaya sana bila usimamizi wa wataalam, mboga zinapulizwa pesticides leo kesho zinachumwa na kuuzwa sokoni
 
Tatzo la hiyo chanzo ya COVID-19 linaanzia hapa kwenye maelekezo,kwahiyo Kama unauwezo wa kujihoji jihoji jipe majibu afu jiulize kwann kwa Waafrika na siyo kwawazungu??View attachment 1687410View attachment 1687411

Siku hizi kuna internet, siyo kama zamani mlikuwa mnadanganya watu
 
Back
Top Bottom