Keyser Söze
JF-Expert Member
- Mar 12, 2013
- 454
- 666
[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kihere here........nenda uko uko wakakuchome matakoniTanzania hatujaanza kutumia chanjo leo kutoka kwa wazungu. Hivi sasa mpaka mtoto anakuwa, anachomwa chanjo mbali mbali sio chini ya mara 5. Taanzania haijawai hata kutengeneza chanjo yoyote toka ipate uhuru.
Leo tunaanzaje kukataa chanjo ya covid 19 kwa maamuzi au fikra ya mtu flani ambaye unaweza kuta nyuma ya pazia kashajipiga iyo chanjo ya covid 19.
Nini maana ya kuwa na mamlaka ya kudhibiti viwango na maabara kuu ya taifa?
Ni wajibu wa serikali kupima na kudhibitisha viwango vya hizi chanjo kwanza kabla ya kuwapa wananchi wake na sio kuja na kauli ya kibaguzi, kishamba na kejeli wakati hata uwezo wa kutengeneza dawa hatuna.
Tunaelewa chanjo hazitolewi bure. Ni jukumu la serikali kununulia wananchi wake chanjo.
Hata hivyo, kama serikali imegoma kununulia wananchi wake chanjo, Iweke huru kwa hospitali binafsi kuleta chanjo na wenye uwezo kujinunulia.
Hatuwezi kufa kwa uzembe wa kijinga namna hii. Chanjo ni muhimu kuliko mandege na mamiradi anayojenga chato.
Leo haamini chanjo za Mzungu ila yupo tyari kununua bombadia kutoka kwa mzungu kwa cash.
Si kila kinachotoka kwa mzungu ni kizuri Mia Kwa Mia, ni lazima wenye akili kukichalenji!!Ni ngumu kuamini kuwa katika karne ya 21 unaweza kuwa Rais wa ajabu kama huyu!
View attachment 1687463
Anakaa chanjo ya wazungu wakati bega la mkono wake wa kushoto kuna bonge la alama la chanjo ya nduiTanzania hatujaanza kutumia chanjo leo kutoka kwa wazungu. Hivi sasa mpaka mtoto anakuwa, anachomwa chanjo mbali mbali sio chini ya mara 5. Taanzania haijawai hata kutengeneza chanjo yoyote toka ipate uhuru.
Leo tunaanzaje kukataa chanjo ya covid 19 kwa maamuzi au fikra ya mtu flani ambaye unaweza kuta nyuma ya pazia kashajipiga iyo chanjo ya covid 19.
Nini maana ya kuwa na mamlaka ya kudhibiti viwango na maabara kuu ya taifa?
Ni wajibu wa serikali kupima na kudhibitisha viwango vya hizi chanjo kwanza kabla ya kuwapa wananchi wake na sio kuja na kauli ya kibaguzi, kishamba na kejeli wakati hata uwezo wa kutengeneza dawa hatuna.
Tunaelewa chanjo hazitolewi bure. Ni jukumu la serikali kununulia wananchi wake chanjo.
Hata hivyo, kama serikali imegoma kununulia wananchi wake chanjo, Iweke huru kwa hospitali binafsi kuleta chanjo na wenye uwezo kujinunulia.
Hatuwezi kufa kwa uzembe wa kijinga namna hii. Chanjo ni muhimu kuliko mandege na mamiradi anayojenga chato.
Leo haamini chanjo za Mzungu ila yupo tyari kununua bombadia kutoka kwa mzungu kwa cash.
Kuchallenge ni kuingia maabara na kuchambua kama chanjo ni salama ama laa na siyo kupiga mayowe majukwaani kuwa wazungu siyo watu wazuri na hawana nia njema na kudai kuwa chanjo hazifai!Si kila kinachotoka kwa mzungu ni kizuri Mia Kwa Mia, ni lazima wenye akili kukichalenji!!
Licha ya wengi wazungu kuchanjwa, lakini bado hawajathibitisha kuwa waliochanjwa wako salama kiasi gani
Kuna mtu amekufunga kamba Ili usipate hiyo chanjo? Mpaka Sasa upo lockdown,au unazurura kama wengine huku ukijitia kuchukua tahadhari dhidi ya corona kwa kubweka hapa jukwaani?Huyu ni wa kumweleza waziwazi.
Kwa ujumla amevuka mipaka. Si wa kupendekeza wala mapambio yake tena.
Huyu yanayoendelea kumhusu Trump yalikuwa saizi yake. Bila ya kumung'unya maneno huyu alistahili impeachment. Kajisahau huyu kuwa yeye ni mtumishi wetu. Kusahau kuwa Power belongs to us.
Matamshi ya kukejeli chanjo hii hayakubaliki. Vipi kuhusu chanjo zingine? Vipi kuhusu usalama wa chochote toka kwa mabeberu ambacho mwenyewe anatumia yakiwamo madawa, madege, magari n.k.
Huyu bwana ni hatari kwa ustawi wetu kama taifa. Huyu ni wa kumfahamisha nchi hii si yake peke yake wala si yake na genge lake. Hii ni offside ya wazi.
Bandugu tunacheka na nyani tutegemee kuvuna mabua.
"Kwa heshima na taadhima mheshimiwa Rais kama nawe huwa unapita huku JF tafadhali ujue, tupo wengi ambao kwa kweli likiwamo hili la chanjo ya corona na ushughulikiaji wako kwa ugonjwa huu unatukwaza sana."
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Huu ndiyo ulio ukweli mchungu!
Na ndicho kasema Mh Rais,Kuchallenge ni kuingia maabara na kuchambua kama chanjo ni salama na siyo kupiga mayowe majukwaani kuwa wazungu siyo watu wazuri na hawana nia njema na kudai kuwa chanjo hazifai!
Mku kweli hapo kuna jambo limejificha. Why not have the same vaccine in Africa & America, Canada & EU what is the secret behind?Tatzo la hiyo chanzo ya COVID-19 linaanzia hapa kwenye maelekezo,kwahiyo Kama unauwezo wa kujihoji jihoji jipe majibu afu jiulize kwann kwa Waafrika na siyo kwawazungu??View attachment 1687410View attachment 1687411
Hiyo siyo chanjo mkuu..Mku kweli hapo kuna jambo limejificha. Why not have the same vaccine in Africa & America, Canada & EU what is the secret behind?
Mku usilaumu tu bali fikiria kwanza. Kwanini chanjo ya USA, Canada na EU wanachanjo yao na ile ya kuja Africa isitumike kwao? kuna nini hapo?Daaa!!wakati mwingine kukaa kimya kuna ficha mengi?!!kwa hiyo hao waliopata chanjo ndio waliopata maambukizi?population yao unaijua?chanjo ndio kwanza imeanza, wewe unasema eti wameshapewa chanjo lakini wanamaambukizi!!chanjo kwanza zimeanza kutolewa kwa makundi ambayo yako hatarini, na kufuata wengine!!na kila raia kuja kuzipata ni muda itachukua, kwa sasa demand ni kubwa kuliko supply!!nyie tianeni ujinga wakati huyo anayewalisha tango poli, alishajipatia chanjo yake mapema!!
Hizi ndio akili za watetezi wa Magufuli!Tatzo la hiyo chanzo ya COVID-19 linaanzia hapa kwenye maelekezo,kwahiyo Kama unauwezo wa kujihoji jihoji jipe majibu afu jiulize kwann kwa Waafrika na siyo kwawazungu??View attachment 1687410View attachment 1687411
No!no!no!Kasema chanjo za wazungu hazifai na wana nia mbaya na Tanzania!(A madness statement from a mad president)Na ndicho kasema Mh Rais,
Kuna mtu amekufunga kamba Ili usipate hiyo chanjo? Mpaka Sasa upo lockdown,au unazurura kama wengine huku ukijitia kuchukua tahadhari dhidi ya corona kwa kubweka hapa jukwaani?
👉Wewe kusanya ukoo wako wote mkapate chanjo hakuna aliewazuia, usianze kutafutwa sababu ya kuwashawishi wengine, nikifa mimi kwa corona inakuuma nini?
Daaaa!!pathetic, kumbe hata hujui, lolote, eti chanjo anayopewa mzungu ni tofauti na mwafrica!!mzungu akitaka ufe, ni muda mfupi tu,.Hivi kweli wazungu waamue kuungana kupambana na huyo anaye kuja nNadhani uelewa wenu ni kipumbavu, chanjo anayopewa mazungu sio unayopewa wewe, na uwezi wao wa kukidhi hizo chanjo ni mkubwa Sana sasa iweje waanze na na group?
Hiyo ni zuga tu mnatakiwa kufa Ila hamjijui
ninachofahamu, kuhusu hizi chanjo za covid 19!! Hakuna za africa wala ulaya!!ndio maana hadi sasa kuna mzozo unafukuta baina ya EU, na kampuni ya kutengeneza chanjo, kuwa walipewa pesa na EU, , toka kwenye utafiti kwa makubaliano kuwa watapewa kipaumbele kwenye chanjo itakapoanza kutumika!!sasa kiwanda kinaziuzia nchi nyingine, za marekani, na Africa wakati wao EU, bado hawajapata za kuwatoshereza?Mku usilaumu tu bali fikiria kwanza. Kwanini chanjo ya USA, Canada na EU wanachanjo yao na ile ya kuja Africa isitumike kwao? kuna nini hapo?
Usiishie kulalama pekee, baada ya hapa, chukua hatua, Tafuta chanjo chanjwa kama wanavyofanya wengineHivi ni kwanini mnakereka mno na uwezekano wowote wa kuwahami watu na corona?
Mna maslahi gani kwenye vifo vya watu enyi mnaojifanya wakatoliki kuliko hata Papa mwenyewe?
Mungu mnayemwomba nyie ni huyu huyu tunayemwabudu sote?
Hivi ni kweli kuwa mnajidhania mna hata chembe ya hoja? Mbona hata kama mnayo mmeshindwa abadan kuiweka hadharani?
Hamtakuwa na wazimu kweli nyie?
Hata hivyo tambueni kuwa nchi hii si ya genge lenu peke yenu. Zaidi kabisa tambueni katika ugonjwa huu katu hatuwaungi mkono hata kidogo.
Kwa hiyo msitutishe wala kutufokea!