#COVID19 Tupo Watanzania tunaohitaji chanjo ya COVID-19

Amesahau mkuu walipo kwenda kuchukua zile dawa kwa ndege na wakagawana ikulu kumbe ji bia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi ni Mtanzania ambaye nipo USA kwenye usimamizi wa kusaidia hospitali kwenye madawa. Chanjo zote ukiacha za China na Russia zimefanyiwa majaribio na madaktari kutoka nchi mbalimbali. Wengi wa wana sayansi ambao wamefanya research sio hata wazungu wengi ni wahindi, waafrika na wazungu...
The best comment
 
Ungeanza kwa kuweka jina lako kamili hapa pamoja na national ID tukujue ikiwa kweli unataka chanjo, vinginevyo itakua ni umbea na uongo tu... Unadhani kuchukua chanjo ya mfano ni mchezo? Wapi hiyo chanjo imefanya kazi? Acheni uswahili

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni Mtanzania ambaye nipo USA kwenye usimamizi wa kusaidia hospitali kwenye madawa. Chanjo zote ukiacha za China na Russia zimefanyiwa majaribio na madaktari kutoka nchi mbalimbali. Wengi wa wana sayansi ambao wamefanya research sio hata wazungu wengi ni wahindi, waafrika na wazungu. Mfano chanjo ya kampuni ya Marekani ya Pfizer’s imetengezwa na kampuni ya BioNTech ya German na ukiangalia mmiliki wake ni mtu kutoka Uturuki ambaye ni muhamiaji. Sijui kama kuna huu muda wa kupanga eti chanjo ya waafrika na wazungu!!. Chanjo ya nyingine imetengenezwa na kampuni ya uingereza ya Astrazeneca lakini wataalamu ni wana vyuo wa Oxford university na dawa zinatengenezewa India ! Kampuni ya India ndiyo hiyo hiyo inayoleta dawa Tanzania karibu zote za vidonge generic za capsule, tablets na injectables kama drip za hospitali!. Sasa watu wanaosema eti kuna dawa za majaribio tofauti wana ushaidi gani? yaani wanasayansi wanaongea kama watu wa vijiwe. Kwani sisi tu dunia nzima ndiyo tuna Gold na Gas asilia? mzee wetu ana pacemaker ya kumsaidia moyo wake amekuwa nayo toka akiwa na miaka 35 kutoka German sasa kwanini wasimmalize na hilo kama kweli wana nia mbaya hao mabeberu! Tusicheze na masiaha ya watu jamani watu wanakufa kweli.
You nailed it,best comment ever on Covid 19.
 
Brother sikatai hiyo fact, lakini ukumbuke haya makampuni yamepewa funds na US au European countries katika kufanya research zao. Kama ujuavyo hawa jamaa wakitoa pesa zao lazima kuwe na conditions attached.

Waafrika au wahindi kuhusika kwenye research hizo siyo ishu, siku hizi watu wanajali pesa kuliko utu. wa Afrika wanawarubuni na kuwauza wenzao huko uarabuni kwa ajili ya pesa.
 
Tupe utafiti uliofanya ukiweka na takwimu hapa ubaoni bila kusahau vyanzo vya taarifa zako kuhusu hilo unalosema
 
14561AB9-14A0-49D2-BE04-2D3CBB0AA82D.jpeg
Nendeni wenyewe mkapewe hiyo chanjo
 
nilipata wasaa wa kukaa na mhadhiri mmoja wa chuo kikuu kimoja cha sayansi,raia wa ujerumani
urafiki wetu umekuwa mkubwa zaidi hasa baada ya yeye kuwa anajua east africa vizuri kabisa.

Ktika maongezi na sehemu tuliyokuwa tulijadili baadhi ya makampuni binafsi kuanza kutoa kinga hii ya covid-19 kwa wafanyakazi kwa kushinikiza,ikiwa ni bure au kujilipia vipimo vya covid-19 kila baada ya week 2

Swali lake kwangu lilikuwa hivi nanukuu, "tell me what you know about the vaccine and why you did'nt choose to be vaccinated?"
Kwakweli sikuwa na jibu la uhakika zaidi ya kumwambia tu kama nimepima muda wote na vipimo vyangu vipo sawia basi sina haja ya hiyo kinga.
Baaada ya kumjibu vile akaniambia nipo sahihi kukubali/kukataa kuchoma hiyo kinga. Nikamuuliza swali Dr. Salam (majina yake)kwa taaluma yako unazungumzia vp covid-19 vaccine?
Jibu lake lilikuwa kama ifuatavyo;

Ili kinga iweze kuruhusiwa inachukua muda kujua habari zaidi za ugonjwa husika,kwa namna gani umedhuru watu na kwa vp unasambaa,pamoja na njia za kuzuia. Ambspo aliniambia kitaalamu inaweza kuchukua muda usiopungua miaka 5-10. Na kwakuwa wana sayansi wameweza kujishughulisha kwa haraka kujua kinga ya covid hivi mapema kuliko muda uliotegemewa kitaalam basi kukubali kupata kinga/ kukataa kinga ni jukumu la mtu binafsi
No one will force you to take the vaccine if you are not interested. Corona ipo tujikinge wakuu
 
Brother sikatai hiyo fact, lakini ukumbuke haya makampuni yamepewa funds na US au European countries katika kufanya research zao. Kama ujuavyo hawa jamaa wakitoa pesa zao lazima kuwe na conditions attached.

Waafrika au wahindi kuhusika kwenye research hizo siyo ishu, siku hizi watu wanajali pesa kuliko utu. wa Afrika wanawarubuni na kuwauza wenzao huko uarabuni kwa ajili ya pesa.
Tukiweka siasa pembeni tuongee ukweli kama watu wazima

  1. Kwanza Bageti ya Tanzania ya mwaka 2019-2020 ya wizara ya Afya US walitoa Jumla ya $600M ambayo ni 1.4 Trillion shillings ya Tanzania.
  2. Dawa za ukimwi bei halisi ya dawa za ukimwi ni $550 kwa doze ya mtu mmoja na wagojwa wetu wanalipa kidogo kuliko mtu aliyopo US sijui kama unajua hilo kwasababu serikali ya US wakati wa Bush walikaa chini na kuingia mkataba na hizi kampuni kupunguza bei.
  3. Chanjo za watoto karibu pesa yote inatoka Bill gate foundation na US goverment. Chanjo hizi ni kama za polio, home za manjano, ukoma, kifua kikuu, tetekuwanga.......
Sasa inakuwaje watu wanaotaka kutuuwa watusaidie tena dawa za kuongeza maisha za ukimwi. Au ni kwanini chanjo tulizonazo mpaka leo bado wazima nyingine zimetolewa miaka ya 1970's. Jamani tutumie akili zetu
 
nilipata wasaa wa kukaa na mhadhiri mmoja wa chuo kikuu kimoja cha sayansi,raia wa ujerumani
urafiki wetu umekuwa mkubwa zaidi hasa baada ya yeye kuwa anajua east africa vizuri kabisa.

Ktika maongezi na sehemu tuliyokuwa tulijadili baadhi ya makampuni binafsi kuanza kutoa kinga hii ya covid-19 kwa wafanyakazi kwa kushinikiza,ikiwa ni bure au kujilipia vipimo vya covid-19 kila baada ya week 2

Swali lake kwangu lilikuwa hivi nanukuu, "tell me what you know about the vaccine and why you did'nt choose to be vaccinated?"
Kwakweli sikuwa na jibu la uhakika zaidi ya kumwambia tu kama nimepima muda wote na vipimo vyangu vipo sawia basi sina haja ya hiyo kinga.
Baaada ya kumjibu vile akaniambia nipo sahihi kukubali/kukataa kuchoma hiyo kinga. Nikamuuliza swali Dr. Salam (majina yake)kwa taaluma yako unazungumzia vp covid-19 vaccine?
Jibu lake lilikuwa kama ifuatavyo;

Ili kinga iweze kuruhusiwa inachukua muda kujua habari zaidi za ugonjwa husika,kwa namna gani umedhuru watu na kwa vp unasambaa,pamoja na njia za kuzuia. Ambspo aliniambia kitaalamu inaweza kuchukua muda usiopungua miaka 5-10. Na kwakuwa wana sayansi wameweza kujishughulisha kwa haraka kujua kinga ya covid hivi mapema kuliko muda uliotegemewa kitaalam basi kukubali kupata kinga/ kukataa kinga ni jukumu la mtu binafsi
No one will force you to take the vaccine if you are not interested. Corona ipo tujikinge wakuu
Hizi ni porojo ambazo ni wishfull thinking na sio scientific.

Mmeshindwa hata kuconcider ukuaji wa Technologia.

Kwanza covid haijagundulika leo. Huu ugonjwa umekuwepo hata miaka ya 1950. Wanascience wamekuwa wakiufanyia tafiti muda mrefu sana.

Pili...kama chanjo za zamani zilikuwa zinatumia miaka 5 hadi 10. Leo hii lazima iwe less sababu ya kukua kwa kasi kwa technologia.
 
Tukiweka siasa pembeni tuongee ukweli kama watu wazima

  1. Kwanza Bageti ya Tanzania ya mwaka 2019-2020 ya wizara ya Afya US walitoa Jumla ya $600M ambayo ni 1.4 Trillion shillings ya Tanzania.
  2. Dawa za ukimwi bei halisi ya dawa za ukimwi ni $550 kwa doze ya mtu mmoja na wagojwa wetu wanalipa kidogo kuliko mtu aliyopo US sijui kama unajua hilo kwasababu serikali ya US wakati wa Bush walikaa chini na kuingia mkataba na hizi kampuni kupunguza bei.
  3. Chanjo za watoto karibu pesa yote inatoka Bill gate foundation na US goverment. Chanjo hizi ni kama za polio, home za manjano, ukoma, kifua kikuu, tetekuwanga.......
Sasa inakuwaje watu wanaotaka kutuuwa watusaidie tena dawa za kuongeza maisha za ukimwi. Au ni kwanini chanjo tulizonazo mpaka leo bado wazima nyingine zimetolewa miaka ya 1970's. Jamani tutumie akili zetu
Hakuna atakae kuelewa kwasababu hawataki kueleweshwa ili waelewe.
 
Mkuu una mawazo makubwa kuliko hata 'cabinet' ya chama pale Lumumba.

Huyu mzee na familia yake na wanaomzunguka washajipiga chanjo 'mafichoni' sasa wanaanza kukebehi wanyonge.
Weka ushahidi mkuu, vinginevyo ni majungu tu.

Hata nchi zilizoendelea chanjo sio lazima. Mnaotaka chanjo mnunue kutoka kwa wenye chanjo. Tanzania hatuwezi kutumia fedha za walipa kodi kwa chanjo ambayo haina tija.
 
Hizi ni porojo ambazo ni wishfull thinking na sio scientific.

Mmeshindwa hata kuconcider ukuaji wa Technologia.

Kwanza covid haijagundulika leo. Huu ugonjwa umekuwepo hata miaka ya 1950. Wanascience wamekuwa wakiufanyia tafiti muda mrefu sana.

Pili...kama chanjo za zamani zilikuwa zinatumia miaka 5 hadi 10. Leo hii lazima iwe less sababu ya kukua kwa kasi kwa technologia.
Coronaviruses (CoV) are a large family of viruses that cause illness ranging from the common cold to more severe diseases.
Miaka hii ya 1950s kulitokea iliyoitwa H2N2 avian influenza that killed millions worldwide. wakati huo nCoV haijakuwa identified previously in humans
Kuhusu kukuwa kwa kasi kwa technology hapo inawezekana ngoja tuone matokeo ya vaccine huku tukijikinga mkuu
Shukrani
 
Tukiweka siasa pembeni tuongee ukweli kama watu wazima

  1. Kwanza Bageti ya Tanzania ya mwaka 2019-2020 ya wizara ya Afya US walitoa Jumla ya $600M ambayo ni 1.4 Trillion shillings ya Tanzania.
  2. Dawa za ukimwi bei halisi ya dawa za ukimwi ni $550 kwa doze ya mtu mmoja na wagojwa wetu wanalipa kidogo kuliko mtu aliyopo US sijui kama unajua hilo kwasababu serikali ya US wakati wa Bush walikaa chini na kuingia mkataba na hizi kampuni kupunguza bei.
  3. Chanjo za watoto karibu pesa yote inatoka Bill gate foundation na US goverment. Chanjo hizi ni kama za polio, home za manjano, ukoma, kifua kikuu, tetekuwanga.......
Sasa inakuwaje watu wanaotaka kutuuwa watusaidie tena dawa za kuongeza maisha za ukimwi. Au ni kwanini chanjo tulizonazo mpaka leo bado wazima nyingine zimetolewa miaka ya 1970's. Jamani tutumie akili zetu
Hivi unadhani US inaweza kutoa pesa zake bure bila kuweka masharti yeyote? Sasa katika hayo masharti wanayotuwekea ni lazima yawe na positive impact upande wao.

Raisi mstaafu kikwete aliwahi kusema ukitaka kula ni lazima uliwe, kwa hiyo Hawa jamaa hawatoi misaada bure Kama unavyodhani, ukipewa msaada ni lazima ukubali baadhi ya Mambo yao kadhaa wanayohitaji kwenye nchi yako.

Ni dhahiri Afrika bado tuko chini ya himaya yao (ukoloni Mambo leo) kwa sababu ya sisi kuwategemea wao kiuchumi.
JPM anajitahidi kujinasua kutoka kwenye mitego hii kwa kupunguza utegemezi katika bajeti ya nchi na kutumia mapato ya ndani katika ujenzi wa miundombinu pamoja na kuepuka misaada au mikopo yenye masharti magumu.
 
Jinga wewe Kama una amini kika wanachosema hao ni sahihi basi gawa tako lako watu walisuze tuone utakavyobinuka.
Kama hao jamaa ni wazuri mbona hawajaleta chanjo ya ukimwi ambao umeua maelfu ya waafrika,
Kwa vile hayo magonjwa kwai hayapo basi wanaleta chanjo zingine eti zitumike africa tu, kwa nini zitumike na huko kwao?
Jiulize wewe msubilia ugali.
Ndio mtaji wa CCM ,mijitu mijinga mijinga km wew,hujui unachoongea unatoa shuzi,huwez kuwakwepa wazungu hivi dreamline tumetengeneza wenyew maana wazungu hawatutakii mema....?We endelea kushaņgilia tu ka Zombies
 
Hivi unadhani US inaweza kutoa pesa zake bure bila kuweka masharti yeyote? Sasa katika hayo masharti wanayotuwekea ni lazima yawe na positive impact upande wao...
Ushirikina mtupu,,mawazo ya kimangungemangunge tu
 
Back
Top Bottom