UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Kwani wewe akili za kwamba wazungu wanakupenda unazitoa wapi? point ni kupunguza watu dunia.Hivi hizi akili za kuwa wazungu wanataka kutuua mnazitoaga wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wewe akili za kwamba wazungu wanakupenda unazitoa wapi? point ni kupunguza watu dunia.Hivi hizi akili za kuwa wazungu wanataka kutuua mnazitoaga wapi?
Nani kasema wazungu wananipenda?Kwani wewe akili za kwamba wazungu wanakupenda unazitoa wapi? point ni kupunguza watu dunia.
Tatizo hapa ni vyama vyenu vya siasa ndivyo vinavyowaharibu. Mimi binafsi nipo kwenye Industry ya Tourism na niseme ndipo ninapopatia mkate wangu huko.Hao u
Hao unaofikili chanjo yao ni nzuri mbona bado wanaogopa corona?
Kwa nini wasijipige hizo chanjo kisha wajichanganye na wengine kwa kuwa wao hawatazurika?
Wao Wana chanjo kisha wanaogopa corona sasa huo sio ni uninga?
Bado kuna wapunbavu Kama ninyi bado mnawaanini kwenye hiyo chanjo.
Tumieni akiri zenu.
Kwani Tundu Lisu ameshachanjwa?
Unaniambia nini kuhusu uingereza pamoja na kuchanaja na kufata mashariti lakini wanapigwa burn umoja wa ulaya?Tatizo hapa ni vyama vyenu vya siasa ndivyo vinavyowaharibu. Mimi binafsi nipo kwenye Industry ya Tourism na niseme ndipo ninapopatia mkate wangu huko.
Kabla na baada ya chanjo nimekuwa nikifanya safari na wageni toka Mataifa tofauti na hakika nimepata muda mzuri wa kushea experience na watu tofauti hasa juu ya covid19 pamoja hiyo chanjo.
Hakika anayesema chanjo haijasaidia chochote ujue huyo ajui chochote.
Mfano mdogo ni Zanzibar wageni kujaa especially people from Russia na kitu inaitwa barakoa hawatumii wakati before vaccination walikua wakitumia. Hujiulizi ni kwanini?
Wageni wengi wanakuja kwa sasa huvaa barakoa Akiwa kwenye ndege na akishashuka na kutoka nje ya uwanja wa ndege huvua barakoa yake.
Chanjo ni muhimu na haikwepeki ila ni muhimu Taifa kuzifanyia uchunguzi kwanza hizo chanjo kabla haijafika kwa mtumiaji, kwani wajanja hawakawii kuingiza vitu fake kutokana na tamaa ya fedha
There is no way out to a government that cares its citizens. The vaccine should be a necessity to all.Tanzania hatujaanza kutumia chanjo leo kutoka kwa wazungu. Hivi sasa mpaka mtoto anakuwa, anachomwa chanjo mbalimbali sio chini ya mara 5. Taanzania haijawai hata kutengeneza chanjo yoyote toka ipate uhuru.
Leo tunaanzaje kukataa chanjo ya covid 19 kwa maamuzi au fikra ya mtu fulani ambaye unaweza kuta nyuma ya pazia kashajipiga iyo chanjo ya covid 19.
Nini maana ya kuwa na mamlaka ya kudhibiti viwango na maabara kuu ya taifa?
Ni wajibu wa serikali kupima na kudhibitisha viwango vya hizi chanjo kwanza kabla ya kuwapa wananchi wake na sio kuja na kauli ya kibaguzi, kishamba na kejeli wakati hata uwezo wa kutengeneza dawa hatuna.
Tunaelewa chanjo hazitolewi bure. Ni jukumu la serikali kununulia Wananchi wake chanjo.
Hata hivyo, kama serikali imegoma kununulia wananchi wake chanjo, Iweke huru kwa hospitali binafsi kuleta chanjo na wenye uwezo kujinunulia.
Hatuwezi kufa kwa uzembe wa kijinga namna hii. Chanjo ni muhimu kuliko mandege na mamiradi anayojenga. Kama chanjo wanataka kuua Waafrica wengine acha tutake risk. Bora kufa huku unapigania kusurvive kuliko kubweteka tu et Mungu wetu yupo hai. Kwani Mungu wa nchi nyingine ni marehemu?
Leo haamini chanjo za Mzungu ila yupo tayari kununua bombadia kutoka kwa mzungu kwa cash.
Kwani wewe akili za kwamba wazungu wanakupenda unazitoa wapi? point ni kupunguza watu dunia.
Mkuu. Utachoka na vichwa ngumu. Achana nao hawa jamaa. Hawaelewi kitu.Daaa!!wakati mwingine kukaa kimya kuna ficha mengi?!!kwa hiyo hao waliopata chanjo ndio waliopata maambukizi?population yao unaijua?chanjo ndio kwanza imeanza, wewe unasema eti wameshapewa chanjo lakini wanamaambukizi!!chanjo kwanza zimeanza kutolewa kwa makundi ambayo yako hatarini, na kufuata wengine!!
Na kila raia kuja kuzipata ni muda itachukua, kwa sasa demand ni kubwa kuliko supply!!nyie tianeni ujinga wakati huyo anayewalisha tango poli, alishajipatia chanjo yake mapema!!
Nakazia:Tanzania hatujaanza kutumia chanjo leo kutoka kwa wazungu. Hivi sasa mpaka mtoto anakuwa, anachomwa chanjo mbalimbali sio chini ya mara 5. Taanzania haijawai hata kutengeneza chanjo yoyote toka ipate uhuru.
Leo tunaanzaje kukataa chanjo ya covid 19 kwa maamuzi au fikra ya mtu fulani ambaye unaweza kuta nyuma ya pazia kashajipiga iyo chanjo ya covid 19.
Nini maana ya kuwa na mamlaka ya kudhibiti viwango na maabara kuu ya taifa?
Ni wajibu wa serikali kupima na kudhibitisha viwango vya hizi chanjo kwanza kabla ya kuwapa wananchi wake na sio kuja na kauli ya kibaguzi, kishamba na kejeli wakati hata uwezo wa kutengeneza dawa hatuna.
Tunaelewa chanjo hazitolewi bure. Ni jukumu la serikali kununulia Wananchi wake chanjo.
Hata hivyo, kama serikali imegoma kununulia wananchi wake chanjo, Iweke huru kwa hospitali binafsi kuleta chanjo na wenye uwezo kujinunulia.
Hatuwezi kufa kwa uzembe wa kijinga namna hii. Chanjo ni muhimu kuliko mandege na mamiradi anayojenga. Kama chanjo wanataka kuua Waafrica wengine acha tutake risk. Bora kufa huku unapigania kusurvive kuliko kubweteka tu et Mungu wetu yupo hai. Kwani Mungu wa nchi nyingine ni marehemu?
Leo haamini chanjo za Mzungu ila yupo tayari kununua bombadia kutoka kwa mzungu kwa cash.
Mkuu waingereza kupigwa ban na umoja wa wilaya hili lina mengi ndani yake, moja Waingereza walijifanya kiburi kujitoa kwenye European union na hilo ni moja ya sababu.Un
Unaniambia nini kuhusu uingereza pamoja na kuchanaja na kufata mashariti lakini wanapigwa burn umoja wa ulaya?
Kwa hiyo umoja wa ulaya hawaamini chanjo za uingereza?
Je kwa nini uvae barakoa ndanibya ndege ilihali umechanjwa?
Kwa hiyo hiyo barakoa ni ya kuzuia nini wakati umechnjwa tayari?
Chanjo hai chomwi mabegani.Kapanueni matako yenu mkachanjwe huko huko kwq mabwqna zenu
Unaa akili za kishamba sana.Hapana matakon maana lazima wakupime kwaanza
Si ndio mnavyofikiri hivyo kwamba ni upendo wao kwenu na ndio maana wanawapa madawa,condom na chanjo bure kabisa kwa sababu ya kuwapenda.Nani kasema wazungu wananipenda?
Aliyekwambia tunafikiri hivyo ni nani? Nani kakwambia condom,chanjo na madawa vinatolewa bure?Si ndio mnavyofikiri hivyo kwamba ni upendo wao kwenu na ndio maana wanawapa madawa,condom na chanjo bure kabisa kwa sababu ya kuwapenda.
Hizo sio sheria za ndege ni shetia za watu wa afya.Mkuu waingereza kupigwa ban na umoja wa wilaya hili lina mengi ndani yake, moja Waingereza walijifanya kiburi kujitoa kwenye European union na hilo ni moja ya sababu.
Kama wewe ni mpenzi wa mpira wa miguu (EPL) utakubaliana nami kuwa baada ya chanjo sasa wameruhusu mechi kuchezwa na mashabiki uwanjani.
Kuvaa barakoa ndani ya ndege haimaanishi kuwa unaogopa Corona, hii ni kutokana na sharia za usafiri wa Anga/ndege especially International flight.
Hii ni sawa na hapa bongo kuna baadhi ya ofisi ukiingia lazima uwe umevaa barakoa