#COVID19 Tupo Watanzania tunaohitaji chanjo ya COVID-19

JANUARY 28, 20215:52 AM

Vaccine-averse Tanzania told to follow science​

NAIROBI (Reuters) - The World Health Organization (WHO) urged Tanzania on Thursday to follow science, a day after its president said COVID-19 vaccines were dangerous and unnecessary if people trusted God and used alternative remedies such as inhaling steam.

President John Magufuli’s contradiction of the global medical consensus and his government’s failure to publish national coronavirus data since mid-2020 has exasperated health experts.

“Urging #Tanzania to ramp up public health measures such as wearing masks to fight #COVID19,” tweeted Matshidiso Moeti, Africa director for the WHO.

“Science shows that #VaccinesWork and I encourage the government to prepare for a COVID vaccination campaign.”

On Wednesday, Magufuli said, without evidence, that vaccines may be part of a foreign plot to spread illness and steal Africa’s wealth.

“We in Tanzania managed to stay for a year without corona. Even here, no one has put on a mask. Our God is beyond Satan and Satan will always fail using different diseases,” he said in a speech in his western home area.

Previously, Magufuli has also scoffed at imported testing kits, saying they returned positive results on a goat and fruit.

Tanzania has not published nationwide figures since May 8, when it had 509 cases and 21 deaths.

“Data-sharing by #Tanzania is also key, with cases surfacing among travellers and visitors over the months,” said WHO Director-General Tedros Adhanom Ghebreyesus in a tweet echoing Moeti’s remarks.

Reporting by George Obulutsa and Omar Mohammed; Writing by Andrew Cawthorne; Editing by Alex Richardson
 
Nadhani uelewa wenu ni kipumbavu, chanjo anayopewa mazungu sio unayopewa wewe, na uwezi wao wa kukidhi hizo chanjo ni mkubwa Sana sasa iweje waanze na na group?
Hiyo ni zuga tu mnatakiwa kufa Ila hamjijui
Thibitisha
 
Kabla cjakujibu nijibu na ww kwann zisisambazwe US,CANADA NA EU?
Great thinkers, kwani iliyowekwa kwenye picha hapo juu ni chanjo? Mbona hiyo ni dawa iliyotengenezwa kwa ajili ya kutibu Ebola. Kuweni waangalifu ksbla ya kusema.
 
Tanzania hatujaanza kutumia chanjo leo kutoka kwa wazungu. Hivi sasa mpaka mtoto anakuwa, anachomwa chanjo mbalimbali sio chini ya mara 5. Taanzania haijawai hata kutengeneza chanjo yoyote toka ipate uhuru.

Leo tunaanzaje kukataa chanjo ya covid 19 kwa maamuzi au fikra ya mtu fulani ambaye unaweza kuta nyuma ya pazia kashajipiga iyo chanjo ya covid 19.

Nini maana ya kuwa na mamlaka ya kudhibiti viwango na maabara kuu ya taifa?

Ni wajibu wa serikali kupima na kudhibitisha viwango vya hizi chanjo kwanza kabla ya kuwapa wananchi wake na sio kuja na kauli ya kibaguzi, kishamba na kejeli wakati hata uwezo wa kutengeneza dawa hatuna.

Tunaelewa chanjo hazitolewi bure. Ni jukumu la serikali kununulia Wananchi wake chanjo.

Hata hivyo, kama serikali imegoma kununulia wananchi wake chanjo, Iweke huru kwa hospitali binafsi kuleta chanjo na wenye uwezo kujinunulia.

Hatuwezi kufa kwa uzembe wa kijinga namna hii. Chanjo ni muhimu kuliko mandege na mamiradi anayojenga. Kama chanjo wanataka kuua Waafrica wengine acha tutake risk. Bora kufa huku unapigania kusurvive kuliko kubweteka tu et Mungu wetu yupo hai. Kwani Mungu wa nchi nyingine ni marehemu?

Leo haamini chanjo za Mzungu ila yupo tayari kununua bombadia kutoka kwa mzungu kwa cash.
Nenda kachanjwe wewe kama unataka.
 
Chanjo ya corona haifai,Magufuli hajaropoka anazo taarifa zote. He is a president ,kama wewe unataka chanjo nenda kachanjwe mwenyewe
View attachment 1688361
Hazifai kwa lipi. Kaja na concrete scientific proof kuwa hazifai au sababu asilimia kubwa ya wa Tz ni wapumbavu kama wewe hawana hata hakili ya kuquestion wala kuthink wao wanataka waambiwe tu wafate kama nyumbu.
 
Wewe ndio una akili?kama unataka chanjo nenda huko wanakochanja ukachanjwe na wewe.
Acha kujifanya una ujuaji mwingi kumbe matope tu kichwani
 
Sio una sema Huna kama ulitaka kumaanisha sinia akili. Ila kwa apo tu nimeshajua wewe ni mmoja wa wapumbavu. Serikali kuwapatia chanjo wananchi wake ni wajibu sababu hii nayo ni dawa. Hawezi tulazimisha watu million 5 kuwa tujifukize au titumie miti shamba kama yeye anavuotaka wakati ukweli ni kuwa kashajichanja mapema tu.
 
Dawa ni moja,kuaminiza wenzetu hatutaki,basi leteni hapa juhudi zetu, za utafiti wa chanjo yakutengeneza wenyewe yenye kuaminika, ama zote hizi ni mbinu za kukwepa gharama kwakuwa tumeshachagua tufanye nini na tusifanye nini.
Hivi dawa ni chanjo tu? Hizi chanzo za ukubwani mi simo.
 
Huyo nae chizi sasa hata kama unataka kuuwa mtu ndio uuwe kirahisi hivyo kiasi cha kuacha ushahidi? kama hivyo basi hivyo basi wangetumia mabomu basi watumalize kwa mara moja.
Ushahidi kwa nani? Kama wazungu wote wameamua kutuua kwani huo ushahidi watautumia akina nani? wanaobaki ni akina nani si wazungu?
 
Hakuna aliyesema wazungu wote wanataka kutuuwa bali ni wachache tu miongoni mwao na madai hapa ni kutupunguza sio kutuuwa wote na kutumaliza.
 
Kumbe wewe umesikia watu wakisema? Hujawasikia wewe mwenyewe hao wazungu wakisema? naomba unitajie hao wazungu wachache waliosema kuwa wanataka kutuua waafrica
 
.
Screenshot_20210212-084918_Twitter.jpg
 
Tanzania hatujaanza kutumia chanjo leo kutoka kwa wazungu. Hivi sasa mpaka mtoto anakuwa, anachomwa chanjo mbalimbali sio chini ya mara 5. Taanzania haijawai hata kutengeneza chanjo yoyote toka ipate uhuru.

Leo tunaanzaje kukataa chanjo ya covid 19 kwa maamuzi au fikra ya mtu fulani ambaye unaweza kuta nyuma ya pazia kashajipiga iyo chanjo ya covid 19.

Nini maana ya kuwa na mamlaka ya kudhibiti viwango na maabara kuu ya taifa?

Ni wajibu wa serikali kupima na kudhibitisha viwango vya hizi chanjo kwanza kabla ya kuwapa wananchi wake na sio kuja na kauli ya kibaguzi, kishamba na kejeli wakati hata uwezo wa kutengeneza dawa hatuna.

Tunaelewa chanjo hazitolewi bure. Ni jukumu la serikali kununulia Wananchi wake chanjo.

Hata hivyo, kama serikali imegoma kununulia wananchi wake chanjo, Iweke huru kwa hospitali binafsi kuleta chanjo na wenye uwezo kujinunulia.

Hatuwezi kufa kwa uzembe wa kijinga namna hii. Chanjo ni muhimu kuliko mandege na mamiradi anayojenga. Kama chanjo wanataka kuua Waafrica wengine acha tutake risk. Bora kufa huku unapigania kusurvive kuliko kubweteka tu et Mungu wetu yupo hai. Kwani Mungu wa nchi nyingine ni marehemu?

Leo haamini chanjo za Mzungu ila yupo tayari kununua bombadia kutoka kwa mzungu kwa cash.
 
JANUARY 28, 20215:52 AM

Vaccine-averse Tanzania told to follow science​

NAIROBI (Reuters) - The World Health Organization (WHO) urged Tanzania on Thursday to follow science, a day after its president said COVID-19 vaccines were dangerous and unnecessary if people trusted God and used alternative remedies such as inhaling steam.

President John Magufuli’s contradiction of the global medical consensus and his government’s failure to publish national coronavirus data since mid-2020 has exasperated health experts.

“Urging #Tanzania to ramp up public health measures such as wearing masks to fight #COVID19,” tweeted Matshidiso Moeti, Africa director for the WHO.

“Science shows that #VaccinesWork and I encourage the government to prepare for a COVID vaccination campaign.”

On Wednesday, Magufuli said, without evidence, that vaccines may be part of a foreign plot to spread illness and steal Africa’s wealth.

“We in Tanzania managed to stay for a year without corona. Even here, no one has put on a mask. Our God is beyond Satan and Satan will always fail using different diseases,” he said in a speech in his western home area.

Previously, Magufuli has also scoffed at imported testing kits, saying they returned positive results on a goat and fruit.

Tanzania has not published nationwide figures since May 8, when it had 509 cases and 21 deaths.

“Data-sharing by #Tanzania is also key, with cases surfacing among travellers and visitors over the months,” said WHO Director-General Tedros Adhanom Ghebreyesus in a tweet echoing Moeti’s remarks.

Reporting by George Obulutsa and Omar Mohammed; Writing by Andrew Cawthorne; Editing by Alex Richardson
 
Hakuna aliyesema wazungu wote wanataka kutuuwa bali ni wachache tu miongoni mwao na madai hapa ni kutupunguza sio kutuuwa wote na kutumaliza.
Hivi hizi akili za kuwa wazungu wanataka kutuua mnazitoaga wapi?
 
Back
Top Bottom