#COVID19 Tupo Watanzania tunaohitaji chanjo ya COVID-19

Habari zao tunazo, yaani wao walipelekewa na wachina chanjo huko kwenje huko wapolipokuwa wamejificha kwao chatto alafu leo wanawadanganya waTz eti chanjo haifai, daaa kweli Mwenyezi Mungu atunusuru
 
Hah hah, si mliwachagua wanalumumba. Mtapuputika kama nzige. Mitano tena!
 
Tatizo hapa ni vyama vyenu vya siasa ndivyo vinavyowaharibu. Mimi binafsi nipo kwenye Industry ya Tourism na niseme ndipo ninapopatia mkate wangu huko.

Kabla na baada ya chanjo nimekuwa nikifanya safari na wageni toka Mataifa tofauti na hakika nimepata muda mzuri wa kushea experience na watu tofauti hasa juu ya covid19 pamoja hiyo chanjo.
Hakika anayesema chanjo haijasaidia chochote ujue huyo ajui chochote.

Mfano mdogo ni Zanzibar wageni kujaa especially people from Russia na kitu inaitwa barakoa hawatumii wakati before vaccination walikua wakitumia. Hujiulizi ni kwanini?

Wageni wengi wanakuja kwa sasa huvaa barakoa Akiwa kwenye ndege na akishashuka na kutoka nje ya uwanja wa ndege huvua barakoa yake.

Chanjo ni muhimu na haikwepeki ila ni muhimu Taifa kuzifanyia uchunguzi kwanza hizo chanjo kabla haijafika kwa mtumiaji, kwani wajanja hawakawii kuingiza vitu fake kutokana na tamaa ya fedha
 
Un Unaniambia nini kuhusu uingereza pamoja na kuchanaja na kufata mashariti lakini wanapigwa burn umoja wa ulaya?
Kwa hiyo umoja wa ulaya hawaamini chanjo za uingereza?
Je kwa nini uvae barakoa ndanibya ndege ilihali umechanjwa?
Kwa hiyo hiyo barakoa ni ya kuzuia nini wakati umechnjwa tayari?
 
ewe mtanzania CCM chama chako ulichokichagua bado hakijaamua hatma yako kuhusu covid-19 - so tulia na subiri tamko.

kundelea kuongea kuhusu corona ni uchochezi.
 
There is no way out to a government that cares its citizens. The vaccine should be a necessity to all.
 
Mkuu. Utachoka na vichwa ngumu. Achana nao hawa jamaa. Hawaelewi kitu.
 
Nakazia:

"Bora kufa huku unapigania kusurvive kuliko kubweteka tu et Mungu wetu yupo hai. Kwani Mungu wa nchi nyingine ni marehemu?"
 
Mkuu waingereza kupigwa ban na umoja wa wilaya hili lina mengi ndani yake, moja Waingereza walijifanya kiburi kujitoa kwenye European union na hilo ni moja ya sababu.
Kama wewe ni mpenzi wa mpira wa miguu (EPL) utakubaliana nami kuwa baada ya chanjo sasa wameruhusu mechi kuchezwa na mashabiki uwanjani.

Kuvaa barakoa ndani ya ndege haimaanishi kuwa unaogopa Corona, hii ni kutokana na sharia za usafiri wa Anga/ndege especially International flight.
Hii ni sawa na hapa bongo kuna baadhi ya ofisi ukiingia lazima uwe umevaa barakoa
 
Nani kasema wazungu wananipenda?
Si ndio mnavyofikiri hivyo kwamba ni upendo wao kwenu na ndio maana wanawapa madawa,condom na chanjo bure kabisa kwa sababu ya kuwapenda.
 
Si ndio mnavyofikiri hivyo kwamba ni upendo wao kwenu na ndio maana wanawapa madawa,condom na chanjo bure kabisa kwa sababu ya kuwapenda.
Aliyekwambia tunafikiri hivyo ni nani? Nani kakwambia condom,chanjo na madawa vinatolewa bure?
 
Sijajua kitendo cha kuchanja mtu mmoja kinaweza kuchukua dakika ngapi.

lakini zipo nchi nyingi zenye population ya below milioni tano.
hao kama ni kuchanjwa wote watakuwa wameshachanjwa.
sasa tusubiri...
 
Hizo sio sheria za ndege ni shetia za watu wa afya.
Pili swali langu ni kwamba kwa nini mtu apate chanjo lakini alazimishwe kuvaa barakoa na kuzuiwa au kyogopa mtu mwenye corona?
Kama hao wazungu wanadhani wamechanjwa hiyo chanjo ni kwa nini waogope kwenda sehemu ambayo kuna corona ili hali wao hawtazurika?
Je wale wanaochanjwa kisha kuugua au kufa na huku wamechanjwa kuna fidia wanalipwa au ndo unauwawa kwa kulazimishwa?
Kwa nini wasichanjwe wao huko kisha watuache na hiyo corona wanaoweza kuishibnayo mpaka iishe yenyewe sawa na wale wanaoona hawawezi kisi na corona waende wakachnjwe huko jisha maisha yaendelee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…