#COVID19 Tupo Watanzania tunaohitaji chanjo ya COVID-19

Ni wajibu wa serikali kupima na kudhibitisha viwango vya hizi chanjo kwanza kabla ya kuwapa wananchi wake na sio kuja na kauli ya kibaguzi, kishamba na kejeli wakati hata uwezo wa kutengeneza dawa hatuna.
Safi kabisa
 
 
Anaeongea ni marehemu jaman asikilizwe
 
Bila chapa Hakuna kuuza wala kununua.Bila chanjo Hakuna Hija Macca, Israel,wala ashara.
 
Huko vizuri, uzi umejitosheleza, akili iwakae!
 
Dawa ni moja,kuaminiza wenzetu hatutaki,basi leteni hapa juhudi zetu, za utafiti wa chanjo yakutengeneza wenyewe yenye kuaminika, ama zote hizi ni mbinu za kukwepa gharama kwakuwa tumeshachagua tufanye nini na tusifanye nini.
Umechagua na nani, hivi kwa nini hamuelewi, tunataka chanjo, ndugu zetu viongozi wetu wa dini, madaktari, wanaisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…