Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
66% Dunia ingeganda, viumbe wengi wangekufaSawa 66% percent ni kiasi kikubwa sana. Truth difference ni chini ya 6% which is insignificant by anymeans kiasi cha kusababisha taharuki ya tahadhari unayoleta. Ni common occurence iliyokwisha tokea maelfu kwa maelfu na wala hatukubaini tofauti yoyote.
Wewe labda ndio unabishana na wataalam na uhalisia pia....Sasa mkuu unataka kubishana na wataalamu au ..
Alafu hayo ni mabadiliko ya hali ya hewa unapozungumzia kufa kwa watu kule makka na hii habari yangu huoni unachanganya mambo.
Daaah tatizo lako ww ujajua hii concept ipo vipi...?Wewe labda ndio unabishana na wataalam na uhalisia pia....
Mimi nakuambia joto linaongezeka pande za Kaskazini mwa dunia nikakutolea na mifano halisi
Ndio waliokuambia joto litashuka kwa asilimia 66%?Daaah tatizo lako ww ujajua hii concept ipo vipi...?
Kwahiyo walitupa hiyo habari wanajichanganya au..
Mana hapa ubishani na mimi ila unabishana na mamlaka ya hali ya hewa mkuu
Ukishaona unamuomba Mungu ujue huo ni ushahidi Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.Mkuu Kiranga huwenda Mungu kasikia maombi yetu kuhusu hali ya joto.... Maaana mjini pazito + joto daah
Uku dar ni shidaaa azibebekiNa nyumba zilivyobanana huko uswazi sijui feni inavuta upepo upi
Mkuu ahsante kwa kunitag. Ni jambo zuri kuwa na nia ya kujifunza zaidi kuhusu matukio ya anga na afya bora.
Acha kutusumbua ww bwana mdogo
Nimewaita wapenda nao mkuje hapaAcha kutusumbua ww bwana mdogo
Mkuu wewe upo kitengo cha haya mambo au ni vile ume deep down sana geography mkuuMkuu ahsante kwa kunitag. Ni jambo zuri kuwa na nia ya kujifunza zaidi kuhusu matukio ya anga na afya bora.
Hata hivyo, ni muhimu kuthibitisha taarifa kabla ya kuzishiriki. Baadhi ya madai uliyotoa kuhusu Aphelion na athari zake kwa afya si sahihi kisayansi.
Tofauti ya umbali kati ya Aphelion na Perihelion (hatua karibu zaidi na Jua) ni takriban kilomita milioni 5, siyo milioni 62 kama ulivyoelezea. Hii ni tofauti ndogo sana (3.1%) na haisababishi mabadiliko makubwa ya joto.
Mabadiliko ya umbali kutoka kwenye Jua hayana athari kubwa kwenye hali ya hewa ya Dunia kwa sababu ya Dunia kujizungusha kwenye mhimili wake. Mhimili huu ndiyo sababu kuu ya misimu yetu, sio umbali kutoka katika Jua.
Aphelion haisababishi moja kwa moja kuongezeka kwa magonjwa kama vile homa na kikohozi. Hali ya hewa ni moja tu ya sababu zinazoathiri magonjwa haya.
Nawasilisha mkuu
Nimecheka sana aiseeeee mjini sio poaUku dar ni shidaaa azibebeki
Hapana mkuu sipo kwenye kitengo chochote. Nimekumbuka Geography ya SecondaryMkuu wewe upo kitengo cha haya mambo au ni vile ume deep down sana geography mkuu
Sie mbeya tupo kwenye mafriji sio kwa baridi hili tunashinda nalo masaa 24Joto joto...
Ndani hapakaliki
Ofisini hapakaliki
Mtaani ndo kabisa
Lini walikanusha mkuuSio kweli,mamlaka ya hali ya hali ya hewa Tanzania (TMA)walikanusha hii taarifa..