Tupumzike sasa sio kwa joto hili la Dar es Salaam

Ila mkuu wewe una tatizo mahali
Hata kama ni kweli nina tatizo mahali (in fact kila mtu ana matatizo, anaumwa, anasikia njaa, anazeeka, atakufa siku moja apende asipende, yote hayo ni matatizo ambayo kila mtu anayo, si mimi tu).

Tatizo hilo litaonesha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Kwa sababu Mungu huyo angekuwapo, asingeumba kiumbe kinachoweza kuwa na tatizo lolote, popote, vyovyote.

Sasa Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo woye kwa nini aumbe ulimwengu ambao unaruhusu matatizo?

Hivi unaelewa main point yangu ni nini?
 
Hata kama ni kweli nina tatizo mahali.

Tatizo hilo litaonesha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Kwa sababu Mungu huyo angekuwapo, asingeumba kiumne kinacjoweza kuwa na tatizo lolote, popote, vyovyote.

Sasa Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo woye kwa nini aumne ulimwengu ambao unaruhusu matatizo?

Hivi unaelewa main point yangu ni nini?
Naelewa sana tuu...
Matatizo ni sehmu ya mitihani kwetu
 
Naelewa sana tuu...
Matatizo ni sehmu ya mitihani kwetu
Sojasema matatizo si mitihani.

Nasema matatizo yanaonesha Mungu mjuzi wa yote, mwenye upendo wote na uwezo wote hayupo.

Ulimwengu wenye matatizo ni mutually exclusive na huyo Mungu.

Maana yeke ni, ama ulimwengu huo upo na Mungu huyo hayupo, ama Mungu huyo yupo na ulimwengu huo jaupo.

Viwili hivi haviwezi kuwepo pamoja, hiyo ni logical contradiction. Kwa sababu main character za huyo Mungu zinatuambia ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, it is a contradiction for that God to create a world in which problems/ evil is possible.

Ulimwengu huu upo, tunauona.

Hivyo, Mungu huyo hayupo.

It's a simple logical conclusion.

Tatizo, unaelewa simple logic?
 
Aaaah oky...
Sema nashangaa sana unaposema Mungu hayupo....
Hivi mkuu unaweza kuta nyumba alafu ukasema hii ipo tuu hakuna mjengaji... ?
 
WATAALAM WANASEMA

........TAHADHARI..... .......
Kuanzia leo saa 5:00 asubuhi: Kwa masaa 27 tutashuhudia PHENOMENON ya APHELION. Dunia itakuwa mbali sana na Jua ☀️. Hatuwezi kuona hali hiyo, lakini TUNAWEZA kuhisi athari yake. Hii itadumu hadi mwezi wa Agosti.

Tutakuwa na hali ya baridi, ZAIDI KULIKO KAWAIDA, ambayo itasababisha homa, kikohozi, shida ya kupumua, n.k. Tunapaswa kuongeza kinga kwa kula vitamini na virutubisho ili kuimarisha afya zetu. Umbali kutoka Dunia kwenda Jua ni dakika 5 za mwanga au kilomita milioni 90.

Hali ya Aphelion inatufikisha umbali wa kilomita milioni 152 kutoka Jua, yaani, 66% zaidi. Hewa itakuwa baridi, miili yetu haiko sawa na joto hili, kuna tofauti kubwa. Tunapaswa kudumisha hali zetu za afya kadri iwezekanavyo, haijalishi ikiwa ni mawingu au jua, ongezeko la baridi litakuwa sawa!!!

Wale wenzangu na mimi wa kimasihara ndo wakati wenu huu

Vijana play safe Se.x is overrated play safe kama kijana usikubali kutafuta matatizo ambayo yataharibu bajeti yako ya maisha..
Maana mtaji wetu sisi hustler ni afya ..

Sometimes you have to let nature take its course

TUJILINDE
The sun in 93 million miles from earth.
The sun is 152 million kilometres from earth.
Light takes 8 minutes to travel from the sun to earth.
Get your facts right before you post.
Science standard five then, when education was education.
 
Mzee maelezo yako sio ya kweli sana, Northern Hemisphere sasa hivi ni kipindi cha joto kali....Hujasikia mahujaji zaidi ya 1000 wamekufa huko Saudi Arabia kwa ajili ya joto?

Kinachotokea sasa hivi ni dunia inakua twisted, upande wa juu (North pole) unaegemea kuwa karibu na jua huku upande wa chini (South Pole) unaegemea mbali na jua

So nchi za Kaskazini mwa dunia zinakuwa lwenye kipindi cha joto(summer) wakati nchi za kusini zinakuwa katika kipindi cha baridi (winter)

Nchi za Kaskazini kama Canada, UK n.k sasa hivi ndio majira ya joto huku nchi za kusini kama South Afrika, Austarlia ikiwa ni majira ya baridi
Si wanasema dunia ni flat.
 
Aaaah oky...
Sema nashangaa sana unaposema Mungu hayupo....
Hivi mkuu unaweza kuta nyumba alafu ukasema hii ipo tuu hakuna mjengaji... ?

Hoja hii kwa juu juu unaweza kuona inatetea uwepo wa Mungu.

Lakini, kiundani kabisa, ni hoja inayotuonesha Mungu hayupo. Na hawezi kuwepo.

Kwa nini?

Kama kila kilicho na complexity ni lazima kimeumbwa na kingine chenye complexity zaidi, kwamba nyumba haiwwzi kuwapo bila muumba nyumba, na muumba nyumba (mtu) hawezi kuwapo bila muumba wa muumba nyumba(ambaye unadai ni Mungu), mantiki hiyo hiyo itataka awepo muumba wa muumba wa muumba nyumba, yani muumba wa muumba mtu, yani, muumba wa Mungu.

Na huyo muumba wa Mungu naye atakuwa na muumba wake, na muumba wake naye atakuwa na muumba wake, ad infinitum.

Sasa, katika ulimwengu huo ambao kila kitu kimeumbwa na muumba wake ambaye na yeyr ana muumba wake, hapo hakuna Mungu muumba vyote.

Hoja yako inaonesha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
 
The sun in 93 million miles from earth.
The sun is 152 million kilometres from earth.
Light takes 8 minutes to travel from the sun to earth.
Get your facts right before you post.
Science standard five then, when education was education.
Sawa mkuu
 
Hoja hii kwa juu juu unaweza kuona inatetea uwepo wa Mungu.

Lakini, kiundani kabisa, ni hoja inayotuonesha Mungu hayupo. Na hawezi kuwepo.

Kwa nini?

Kama kila kilicho na complexity ni lazima kimeumbwa na kingine chenye complexity zaidi, kwamba nyumba haiwwzi kuwapo bila muumba nyumba, na muumba nyumba (mtu) hawezi kuwapo bila muumba wa muumba nyumba(ambaye unadai ni Mungu), mantiki hiyo hiyo itataka awepo muumba wa muumba wa muumba nyumba, yani muumba wa muumba mtu, yani, muumba wa Mungu.

Na huyo muumba wa Mungu naye atakuwa na muumba wake, na muumba wake naye atakuwa na muumba wake, ad infinitum.

Sasa, katika ulimwengu huo ambao kila kitu kimeumbwa na muumba wake ambaye na yeyr ana muumba wake, hapo hakuna Mungu muumba vyote.

Hoja yako inaonesha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Daaah aiseeee
 
Daaah aiseeee
Umeielewa hoja?

Unapouliza nyumba imejengwa na nani, unaelewa hapo hapo imeweka swali la Mu gu katokeaje ambalo huwezi kulijibu?

Unaelewa hoja ya "hakuna nyumba bila mjenga nyumba" inazaa hoja ya "hakuna Mungu bila muumba Mungu"?

Nikikujibu nyumba imejengwa na watu.

Mungu wako muumba wake nani?
 
Sasa hiyo elimu kuwa yeye katokea wapi bado haipo...
Au wewe unaamini kila kitu unajua mwanzo wake wapi mkuu..?
 
WATAALAM WANASEMA

........TAHADHARI..... .......
Kuanzia leo saa 5:00 asubuhi: Kwa masaa 27 tutashuhudia PHENOMENON ya APHELION. Dunia itakuwa mbali sana na Jua ☀️. Hatuwezi kuona hali hiyo, lakini TUNAWEZA kuhisi athari yake. Hii itadumu hadi mwezi wa Agosti.

Tutakuwa na hali ya baridi, ZAIDI KULIKO KAWAIDA, ambayo itasababisha homa, kikohozi, shida ya kupumua, n.k. Tunapaswa kuongeza kinga kwa kula vitamini na virutubisho ili kuimarisha afya zetu. Umbali kutoka Dunia kwenda Jua ni dakika 5 za mwanga au kilomita milioni 90.

Hali ya Aphelion inatufikisha umbali wa kilomita milioni 152 kutoka Jua, yaani, 66% zaidi. Hewa itakuwa baridi, miili yetu haiko sawa na joto hili, kuna tofauti kubwa. Tunapaswa kudumisha hali zetu za afya kadri iwezekanavyo, haijalishi ikiwa ni mawingu au jua, ongezeko la baridi litakuwa sawa!!!

Wale wenzangu na mimi wa kimasihara ndo wakati wenu huu

Vijana play safe Se.x is overrated play safe kama kijana usikubali kutafuta matatizo ambayo yataharibu bajeti yako ya maisha..
Maana mtaji wetu sisi hustler ni afya ..

Sometimes you have to let nature take its course

TUJILINDE
Hakuna mahala ulipoonesha sababu ya dunia kuwa mbali na jua.
 
Daaah tatizo lako ww ujajua hii concept ipo vipi...?
Kwahiyo walitupa hiyo habari wanajichanganya au..
Mana hapa ubishani na mimi ila unabishana na mamlaka ya hali ya hewa mkuu
Ujajua ❌️
Hujajua ✅️

Mana ❌️
Maana ✅️

Ubishani❌️
Hubishani ✅️
 
Back
Top Bottom