Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,060
- 9,468
Mtu mzima kuandika kama mtoto wa nursery ndiyo aibu kubwa zaidi.Huu pia ni ushamba
Uandishi wako tu unakutaja wewe ni mtu wa aina gani katika jamii.
Sasa kama kuandika tu maneno halisi ama lugha sanifu ni shida kwako unataka uaminike na kile unachokiwasilisha kwa jamii?