Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Ogopa sana mwanaume anayependa starehe hasa kunywa pombe alafu hana hela. Huyo ni mmbea pro max, niamini mimi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaitwa waswahili.....mara moja moja hudhuria kwenye vibanda vya gahwa.....UTAPATA MPAKA UMBEYA WA IKULUMuda mwingi niko home kuna mafundi wanaendelea na ujenzi tangu july nimegundua kitu
Hawa jamaa ni wanaume lakini wanavyongelea maisha ya watu wananishangaza
Muda mwingine niko ndani hawajui kama niko ni mwendo wa umbeya. hadi mimi humo ndani najadiliwa
Kidogo watamix na story za mpira ila mazungumzo 85% ni maisha ya watu tena private life kabsa
Utaskia unamjua yule bwana ee naskia alikopa hela eee halafu yule ee hizi gari naskia ni mikopo ee
halafu yule ee anasumbuliwa na presha aah aah eeh iv yule ni kabila gan ahh kumbe aiseee mke wake ehh ahh ivi na yule ni mtoto wake eeh ahh na blah blah kama hizo .
Ila hata job kuna watu wanaa mnoNi kweli, baaadhi ya wanaume tumekuwa wambea sana. Ndio maana kuna maeneo kama unajitambua hutakiwi kukaa, sehemu wanazocheza "draft" zimekuwa chungu cha kupika umbea na kusambaza majungu.
Watu wa gahwa ...kashata...bao na ushirikina...Hizo tamaduni zinaanzia na jamii zinazofanana na jamii za pwani. Mambo ya viabarazani, umbea
I say itategemena na jamii. Ziko jamii hazina time na ma hovyo hovyoBinadamu ni kiumbe wa umbea kwa asili, ni wachache sana wanaoweza kuishi bila umbea, ndio maana umbea ni biashara kubwa duniani.
Jami zote duniani zinafanya umbea, ni aina ya umbea tu ndio unatofautina. Ukienda uswahilini umbea unaozungumziwa mara nyingi utakuta ni wa bwana fulani kutembea na mwanamke fulani, nani mtaani wanapika sana nyama , nani kamloga fulani n.k ukienda jamii nyingine utakuta nani kamuibia ndugu yake dukani, nani kamtoa ndugu yake kafara awe tajiri, nani ana pesa lakini hasaidi ndugu zake n.kI say itategemena na jamii. Ziko jamii hazina time na ma hovyo hovyo
Ila kwa mwanaume kukaa kujadili familia fulani, jamaa fulani kimbea hata sio poa mkuu. Ni kweli current affairs, siasa na International affairs hazivutii kujadili, ni bora hata kujadili mpia na wanawake kuliko kujadili umbea.Waache watoto wacheze!
Hao ni "simple minds" na kazi yao unaiona! Unataka wajadili nini?
Siasa za sasa hazivutii, current affairs za nchi na dunia michosho ni vita na mabalaa!
Psychology, Constitution of URT, Hypocrisy of news media? Gender imbalance? Emerging technologies and other contemporary issues? Utakuwa unawaonea!
I will not agree with this, wakati nimeenda masomoni nje, nchi za wenzetu. No body has time with you labda muwe friends au amekuzoea ndio hata mtapiga storyJami zote duniani zinafanya umbea, ni aina ya umbea tu ndio unatofautina. Ukienda uswahilini umbea unaozungumziwa mara nyingi utakuta ni wa bwana fulani kutembea na mwanamke fulani, nani mtaani wanapika sana nyama , nani kamloga fulani n.k ukienda jamii nyingine utakuta nani kamuibia ndugu yake dukani, nani kamtoa ndugu yake kafara awe tajiri, nani ana pesa lakini hasaidi ndugu zake n.k
Maofisini hawapigi umbea?I will not agree with this, wakati nimeenda masomoni nje, nchi za wenzetu. No body has time with you labda muwe friends au amekuzoea ndio hata mtapiga story
Lakini kukaa vibarazani vijiweni? No
Even kwenye publick transport, unless ni issue ya politics , au maamuzi fulani ya serikali.
Else wako busy
Ni tabia ya mtu mweusi , sisemi jamii za wenzetu ziko perfect ila suala hilo mtu mweusi ndio kama muasisi, imefikia mahali hata kazi anaacha au hatafuti kazi ya kufanya yuko bize na hayo mambo
Ulaya hukutani na mambo ya hayo
Kama unaongelea ofice za ulaya nitaku dissapoint, they almost dont do it, unless kuna kitu kikubwa kimetoa. Wenzetu wako strict sana maofisini. No time to wasteMaofisini hawapigi umbea?
Wanawake majirani hawapigi umbea?
Hahahaha
Ukisikia watu wanakusema halafu huna roho ngumu unaweza kukata tamaa maishani mkuu.Hahahaha
kwanza kusema maisha ya mtu haijalishi jinsia kama mtoa comment anavyoshangaa
nimekuwa nikienda shambani kwa mzee kabla sija sign out ishu za kusoma.....
Unakuta vibarua mostly ni wanaume.... Oyaah yanayozungumzwa unabaki like ni nini hiki !
Haya njoo vijiwen vya boda, gahawa na vingine then uwe unapita kila siku ni kusemwa afu ukiwakaribia wanakuchangamkia na nakuwa nshawasoma so nikuwa-mute tu.....
Nilicho note kusema watu ya sisi wanaume na wanawake Kuna utofauti..... sisi mpaka usikie habari hii kanipa sijui juma, au John ni ngumu Ila kwa ke akitoka hapo ni direct proportion kwa anayesemwa...
Mwisho: Maisha yetu yanahitaji usiri mkubwa sana kwa sababu wanaotutolea Siri ni watu wa karibu au mtoa huduma wako uliyemzoea mfano Kuna watu wana boda, mafundi, sijui dada wa oda ya chakula n.k
Unaruhusu mtu aingie mpaka chumbani maybe, afu unakuta una makando kando yako unafikiri akiona inakuaje, mwingine akikuta diary umeandika anairukia kujua Kuna nn ?
Kuna wale sasa wa kutangaza mwakani nina pata mtoto, mara hivi mara vile, yote ya nn?
Mpaka unasemwa ina maana taarifa zako umezivujisha mwenyewe kupitia marafiki zako au kujisifia mwishowe ndo kusemana tuu.....
Huku wapo mzee baba
Nshazoea mkuu hata siwaziUkisikia watu wanakusema halafu huna roho ngumu unaweza kukata tamaa maishani mkuu.