huu ni upuuzi mkubwa mno ambao huwa tunaishia kuumbuka tuImekuwa ni desturi ya watu kukurupuka kujadili kwa nguvu zote mambo ya mikataba pasipo kujua undani wake. Issue ya Feisal na sasa suala la Sportpesa zimenifanya niamini kuwa tuna tatizo kwenye vichwa vyetu...
Hasa huyu OKW BOBAN SUNZUImekuwa ni desturi ya watu kukurupuka kujadili kwa nguvu zote mambo ya mikataba pasipo kujua undani wake. Issue ya Feisal na sasa suala...
Sisi wachambuzi wa Tanzania tunajua Kila kitu. Formation, tactics, mikataba, sheria za ajira, Uchawi nk. Lete chochote tutachambua.Imekuwa ni desturi ya watu kukurupuka kujadili kwa nguvu zote mambo ya mikataba pasipo kujua undani wake. Issue ya Feisal na sasa suala la Sportpesa zimenifanya niamini kuwa tuna tatizo kwenye vichwa vyetu. Mtu hujui chochote kuhusu mkataba husika lkn unaongea mpaka utumbo unaonekana. Mwisho wa siku unakuta suala husika lina sura tofauti sana na ulivofikiri na kueleza watu.
Hatujachelewa, tuanze kuwa na utamaduni wa kunyamaza pale unapokuwa huna details za suala husika. Tupunguze ujuaji
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Huyu ni shabiki anayejulikana Kwa nature ya mashabiki wa Simba na Yanga wala usishangae maana hata wa Yanga wako hivyo hivyo. Shida inakuja Kwa wale walioajiriwa na Media au walio na blogs kuchambua kishabiki.Hasa huyu OKW BOBAN SUNZU
Ukiskia sauti ujue limempataumetupa jiwe gizani mzee
Sanawalivyo na madomo watanyamaza vipi ngoja kwanza yanga atawale miaka10 kwenye soka la tz.
Details za mkataba umeziona? Na kama hujaziona unajadili nn kama sio ujingaKama facts zote zinawekwa mezani, pande zote mbili zinatoa utetezi wao, anayejielewa anapima uzito ulipo, hapo kushindwa kujua utopolo ni wajinga wa mikataba huo ni zaidi ya ujinga wenyewe.
Sanahuu ni upuuzi mkubwa mno ambao huwa tunaishia kuumbuka tu
Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app