Imekuwa ni desturi ya watu kukurupuka kujadili kwa nguvu zote mambo ya mikataba pasipo kujua undani wake. Issue ya Feisal na sasa suala la Sportpesa zimenifanya niamini kuwa tuna tatizo kwenye vichwa vyetu. Mtu hujui chochote kuhusu mkataba husika lkn unaongea mpaka utumbo unaonekana. Mwisho wa siku unakuta suala husika lina sura tofauti sana na ulivofikiri na kueleza watu.
Hatujachelewa, tuanze kuwa na utamaduni wa kunyamaza pale unapokuwa huna details za suala husika. Tupunguze ujuaji
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Hatujachelewa, tuanze kuwa na utamaduni wa kunyamaza pale unapokuwa huna details za suala husika. Tupunguze ujuaji
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app