Tupunguze ujuaji kwenye mambo ya mikataba

canfi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,368
Reaction score
1,477
Imekuwa ni desturi ya watu kukurupuka kujadili kwa nguvu zote mambo ya mikataba pasipo kujua undani wake. Issue ya Feisal na sasa suala la Sportpesa zimenifanya niamini kuwa tuna tatizo kwenye vichwa vyetu. Mtu hujui chochote kuhusu mkataba husika lkn unaongea mpaka utumbo unaonekana. Mwisho wa siku unakuta suala husika lina sura tofauti sana na ulivofikiri na kueleza watu.

Hatujachelewa, tuanze kuwa na utamaduni wa kunyamaza pale unapokuwa huna details za suala husika. Tupunguze ujuaji

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
walivyo na madomo watanyamaza vipi ngoja kwanza yanga atawale miaka10 kwenye soka la tz.
 
Kama facts zote zinawekwa mezani, pande zote mbili zinatoa utetezi wao, anayejielewa anapima uzito ulipo, hapo kushindwa kujua utopolo ni wajinga wa mikataba huo ni zaidi ya ujinga wenyewe.
 
Imekuwa ni desturi ya watu kukurupuka kujadili kwa nguvu zote mambo ya mikataba pasipo kujua undani wake. Issue ya Feisal na sasa suala la Sportpesa zimenifanya niamini kuwa tuna tatizo kwenye vichwa vyetu...
huu ni upuuzi mkubwa mno ambao huwa tunaishia kuumbuka tu

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Imekuwa ni desturi ya watu kukurupuka kujadili kwa nguvu zote mambo ya mikataba pasipo kujua undani wake. Issue ya Feisal na sasa suala la Sportpesa zimenifanya niamini kuwa tuna tatizo kwenye vichwa vyetu. Mtu hujui chochote kuhusu mkataba husika lkn unaongea mpaka utumbo unaonekana. Mwisho wa siku unakuta suala husika lina sura tofauti sana na ulivofikiri na kueleza watu.

Hatujachelewa, tuanze kuwa na utamaduni wa kunyamaza pale unapokuwa huna details za suala husika. Tupunguze ujuaji

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Sisi wachambuzi wa Tanzania tunajua Kila kitu. Formation, tactics, mikataba, sheria za ajira, Uchawi nk. Lete chochote tutachambua.
 
Kama facts zote zinawekwa mezani, pande zote mbili zinatoa utetezi wao, anayejielewa anapima uzito ulipo, hapo kushindwa kujua utopolo ni wajinga wa mikataba huo ni zaidi ya ujinga wenyewe.
Details za mkataba umeziona? Na kama hujaziona unajadili nn kama sio ujinga

Back
Top Bottom