Nimelisema hili kwa dhati sana, kwani kuna baadhi ya watu, tena raia halali wa Tanzania ambao wamedhamiria kuususia mchakato mzima wa kuipigia kura rasimu ya katiba kwa dhana ya kuikomoa serikali iliyopo madarakani kitu ambacho si sahihi. Ni sawa mtoto kumsusia mzazi chakula akizani anamkoa mzazi kumbe anajikomoa mwenyewe.
Kwa fikra zangu mimi ninadhani ni bora kama hatuitaki katiba pendekezwa tujitokeze kwa wingi ili tuipigie kura ya "HAPANA" ambayo ndiyo itatufikisha tunapopataka.
VIJANA, WAZEE, WAKINA MAMA, WAKINA BABA KUMBUKENI KURA YETU NI MUHIMU SANA KATIKA KUIREKEBISHA KATIBA TANZANIA.