Tupunguze utoto kwenye katiba mpya

Tupunguze utoto kwenye katiba mpya

abbys.com

New Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
1
Reaction score
0
Nimelisema hili kwa dhati sana, kwani kuna baadhi ya watu, tena raia halali wa Tanzania ambao wamedhamiria kuususia mchakato mzima wa kuipigia kura rasimu ya katiba kwa dhana ya kuikomoa serikali iliyopo madarakani kitu ambacho si sahihi. Ni sawa mtoto kumsusia mzazi chakula akizani anamkoa mzazi kumbe anajikomoa mwenyewe.
Kwa fikra zangu mimi ninadhani ni bora kama hatuitaki katiba pendekezwa tujitokeze kwa wingi ili tuipigie kura ya "HAPANA" ambayo ndiyo itatufikisha tunapopataka.
VIJANA, WAZEE, WAKINA MAMA, WAKINA BABA KUMBUKENI KURA YETU NI MUHIMU SANA KATIKA KUIREKEBISHA KATIBA TANZANIA.
 
Sawa sawa mkuu watu wengi wako kwa lengo kuikomoa Serikali kwa kususia mchakato wa katiba, kumbe wameshai kwamba wanajikomoa wao wenyewe, lengo kubwa ya mchakato huu ni kuoata katiba bora yenye kumjali kila mmoja, hii sio katiba ya kiongoI fulani na familia yake hapana. Ni ya kila mmoja vizazi hadi vizazi.
 
Zaidi ya hapo, inajenga misingi ya kusimamia haki za kila raia na mali zake maana bila msingi (Katiba) taifa halitakuwa na uimara kwa watu wake kuanzia sasa na vizazi vijavyo. Tusijikomoe wenyewe kwa kudhani unamkomoa mtu kumbe wajikaanga mwenyewe.
 
Sawa sawa mkuu watu wengi wako kwa lengo kuikomoa Serikali kwa kususia mchakato wa katiba, kumbe wameshai kwamba wanajikomoa wao wenyewe, lengo kubwa ya mchakato huu ni kuoata katiba bora yenye kumjali kila mmoja, hii sio katiba ya kiongoI fulani na familia yake hapana. Ni ya kila mmoja vizazi hadi vizazi.
Hii katiba pendekezwa ni kwa maslahi ya wenye nchi sio WATANZANIA, maana inaonekana sisi ni wale wengine. Ila wenye nchi ndiyo wameruhusu kuandikwa kwa katiba ambayo inahujumu uchumi wa taifa, and hawaumii kwa sababu nchi ni yao wao. Nawe jinsi ulivyo mjinga unashabikia kama zuzu eti ni katiba ya kizalendo. Haifai tena haifai imejaa ghariba
 
Ninyi ndg. siwaelewi, mwakaboko na ndg yako Mwakaboko King, jueni Watanzania tupo na tunasoma mnachoandika, inavyoonekana mwakaboko msukumo wako wa kuandika hivyo ni matakwa yaliyonje ya uelewa na fikra zako. Sasa ukiangalia mlinganisho wako unaelekea wewe ni Zuzu maana unayoyasema yanatoka mdomoni mwatu mwingine wewe umetumika kama chombo tu kutuvuruga Watanzania. Angalau mwenzako Mwakaboko King anaelekea elekea kuwa mwerevu na kujali nchi yake. Pole sana janja yako tumeigundua. Usipime maji kwa macho wewe.
 
mkuu abbys.com kwani hata tukipiga kura ya HAPANA maCCM yatashindwa kuchakachua matokeo? umesahau rafu zilizotokea bungeni hadi Zakhia Maghji kapigishwaj kura kama mzanzibar? chezea MAGAMBA kwa uchakachuaji wewe!
 
Last edited by a moderator:

najua kuwa mashabiki mko wengi na who knows labda mko kwenye payroll, hiyo katiba ya chenge sijui kama umeisoma kweli, hasa kwenye mambo ya msingi kwa taifa kama vile ukubwa serikali, madaraka ya rais, uchaguzi wa rais, malalamiko ya uchaguzi wa rais, sifa za kuwa mbunge, maadili ya uongozi, kuduplicate haki ndani ya katiba... Na kwa bahati nimepata fursa ya kuwauliza waliokuwa bmk uso kwa uso, kwanini waliweka vipengele vingine vya hovyo hovyo.... majibu wanayotoa ni blabla

Huyo m king sio ndg yangu, ndg zangu ni wazalendo wote kwa taifa asiye mzalendo kama huyo sio ndg yangu. Kaamua kutumia jina langu na kuongeza neno king kwa mbele kwa hila zake tu. Nawe kwa uzuzu wako unashangilia, bila kujua maudhui. Wewe ni mzigo kwa taifa. Anyway wenye nchi wameamua. Katiba ya chenge itapita, but the cry for constitution reform will continue the end until katiba ya WATANZANIA itakapopatikana maana itakayopitishwa ni ya CCM tena kwa wateule wachache. kwa heri
 
Nasikitika kusikia unamnkana ndg yako leo kwa kuwa umebanwa na kuambiwa kinagaubaga unaamua kukataa ili ujusfy uzuzu wako. Katiba ya nchi siyo ya mtu mmoja. Unaposema uongo dhamiri yako ikusute wewe. Usifikiri wewe ndiyo unajua sana zaidi unajua kudanganya watu juu ya ukweli uliopo. Katiba ni ya Watanzania ndiyo maana asili yake ni wananchi wenyewe. Usitulishe matango pori yako hapa, kayasubiri yaive au yakomae na hapo unaweza kuleta hoja ya haja.
 
wala sikushangai, ndivyo mlivyo na yule mwenzako anayejiita m.king. Husomi ila unaangalia kwa juu. Endelea na mradi wako. cha muhimu kama watoto wanakula kwa hili, ila nijua nafsi yako itakusuta. Maana hata sasa nikikueleza sema/andika uzuri wa katiba ya chenge huna hoja za kuitetea. Nchi imepoteza wazalendo naona mlio wengi ni wachumia tumbo sio taifa. Very sad

wewe dogo mchumia tumbo usijifanye unajua hapa, ondoa uharo wako hapa
 
Nimelisema hili kwa dhati sana, kwani kuna baadhi ya watu, tena raia halali wa Tanzania ambao wamedhamiria kuususia mchakato mzima wa kuipigia kura rasimu ya katiba kwa dhana ya kuikomoa serikali iliyopo madarakani kitu ambacho si sahihi. Ni sawa mtoto kumsusia mzazi chakula akizani anamkoa mzazi kumbe anajikomoa mwenyewe.
Kwa fikra zangu mimi ninadhani ni bora kama hatuitaki katiba pendekezwa tujitokeze kwa wingi ili tuipigie kura ya "HAPANA" ambayo ndiyo itatufikisha tunapopataka.
VIJANA, WAZEE, WAKINA MAMA, WAKINA BABA KUMBUKENI KURA YETU NI MUHIMU SANA KATIKA KUIREKEBISHA KATIBA TANZANIA.

Hatuisusii kura ya maoni, tumejindikisha kwa wingi Wa kishindo kwa makusudi kabisa ili kuipiga chini kwa kishindo katiba pendekezwa ya kihuni ya six na Chenge, usihifu, hatususi!
 
Hii katiba pendekezwa ni kwa maslahi ya wenye nchi sio WATANZANIA, maana inaonekana sisi ni wale wengine. Ila wenye nchi ndiyo wameruhusu kuandikwa kwa katiba ambayo inahujumu uchumi wa taifa, and hawaumii kwa sababu nchi ni yao wao. Nawe jinsi ulivyo mjinga unashabikia kama zuzu eti ni katiba ya kizalendo. Haifai tena haifai imejaa ghariba

Kamanda kaisome aisee maana naona unaogelea tu na huelewi, Imeweka msingi wa kuzuia ubaguzi na kulinda muungano, issue ya kuhujumu uchumi unayoisema iko wapi?
 
Hatuisusii kura ya maoni, tumejindikisha kwa wingi Wa kishindo kwa makusudi kabisa ili kuipiga chini kwa kishindo katiba pendekezwa ya kihuni ya six na Chenge, usihifu, hatususi!

Huwezi kuzuia radi kwa kujificha chini ya mti!
 
  • Thanks
Reactions: MTK
mkuu abbys.com kwani hata tukipiga kura ya HAPANA maCCM yatashindwa kuchakachua matokeo? umesahau rafu zilizotokea bungeni hadi Zakhia Maghji kapigishwaj kura kama mzanzibar? chezea MAGAMBA kwa uchakachuaji wewe!

Avatar yako tu inaonyesha namna gani ulivyoathirika kisaikolojia!
 
Huwezi kuzuia radi kwa kujificha chini ya mti!

Kuna mwamba mmoja wa kaskazini mwa NJI hii; aliwahi kusema kishujaa kwamba "huwezi kuzuia mafuriko kwa mikono" mmh mbona inaelekea mafuriko yamezuiwa kwa kidole wala sio mikono tena??!!
 
CCM ndio wanaouyumbisha mchakato huu wa katiba mpya.
They are afraid to avail new constitution in fear of what they will loose.
CCM sio watu wa maamuzi maagumu.
Luku vere
 
Huo mwamba naona ndo una malizika!unaendelea kusambaratika!
 
CCM ndio wanaouyumbisha mchakato huu wa katiba mpya.
They are afraid to avail new constitution in fear of what they will loose.
CCM sio watu wa maamuzi maagumu.
Luku vere

Mkuu vuta subira, kikubwa vumilia tu na usilalamike siku ikiingia mzigo i!
 
Tatizo lako unadhani aliyepost hapa ni kiazi/mburula. Ninaandika ambacho nakijua na hata niko tayari kukitetea kwa hoja mbele za watu. Nina uhakika wewe utaishi kusema kuwa ni nzuri sana, na kwenye hivyo vipengele ambavyo ni vya hovyo utaishia kusema vitafanyiwa marekebisho baadaye. Kumbuka hatuandiki katiba ya ccm bali katiba ya WATANZANIA
Kamanda kaisome aisee maana naona unaogelea tu na huelewi, Imeweka msingi wa kuzuia ubaguzi na kulinda muungano, issue ya kuhujumu uchumi unayoisema iko wapi?
 
wewe dogo mchumia tumbo usijifanye unajua hapa, ondoa uharo wako hapa
mimi siyo mdogo wako, ila ni mwalimu wako. TENA WEWE si ajabu ukawa uko kwenye payroll, maana unatetea hata vitu vya ajabu ajabu, achana na mimi. mimi sio mjinga kama wewe ambaye unatetea nchi kuibiwa na mafisadi
 
Back
Top Bottom